Recent content by naumbu

  1. naumbu

    Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

    Huyo aliyetambulishwa kama Mkurugenzi len ni mdogo wake Mange wa mama mmoja,ni mbinafsi sana yule dada!a caring sister hawezi kuhatarisha usalama wa mdogo wake kwa kumuingiza kwenye deal za kuwachafua watu wakati yeye yupo mbali na hilo analionyesha kwa kuendelea kuwa bully watu wakati mdogo...
  2. naumbu

    Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

    Ha ha umenikumbusha mbali eti Now Open,wewe unamfahamu vizuri inawezekana hata sigara kubwa alikua anapiga ni moja ya ma Miss sikuelewa vigezo gani vilitumika alikua mfupi na chain smoker
  3. naumbu

    Tamasha la Franco Luambo Luanzo Makiadi Grand Master( Grande Maitre) Dar es Salaam- Early 1970's

    Kuna Mzee aliniambia asubuhi yake roli lilijaza kandambili zilizokatika,enzi hizo kandambili kiatu cha maana
  4. naumbu

    Mama J, shabiki wa Yanga

    Alishaachika long time huyo hana mume
  5. naumbu

    Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Dogo upo so arrogant kwa kaka zako!!mimi nimesoma UD ya VC ni Luhanga,CACO ni Mkunya na CADO ni Mkude,Rais ni Mkapa!!nadhani nahitaji Shikamoo yako
  6. naumbu

    Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Unajua JF sio FB kuna Wazee humu nashangaa umesoma UD wakati wa Mabibo Hostel alafu unawakoga wenzio eti enzi zetu
  7. naumbu

    Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

    Wanyakyusa wanawake ukipakana nao ni balaa dah,nina jirani zangu kama wawili wamama wa Kinyakyusa wanatusumbua sana
  8. naumbu

    Msaada wa kimawazo: Nahisi naanza kupata depression

    Unaonekana ni mbinafsi sana, ukipata mtoto unatakiwa kuacha kujifikiria wewe peke yako!you have a family now,na unavyomuelezea huyo binti na uchunguzi wako uliofanya anaonesha anakupenda! Fanya maamuzi sahihi utamkumbuka huyo dada baadae!Karma has no menu
  9. naumbu

    Mama katembea na mume wa bintiye wa kuzaa kapata na mimba juu

    Usanii tu Bongo movie,hayo mambo yapo ila wale wa kwa Sheikh ni uwongo
  10. naumbu

    Perfect Chikwende wa FC Platnums asajiriwa Simba SC

    Kila anayewafunga mnamsajili kuanzia Morrison, Kaheza, Miqueson na sasa Chikwende.
  11. naumbu

    Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

    Tujitahidi kusomesha watoto wa kike,huyu dada ni bogus kuna vitu anaongea anaonekana hajui hata madhara yake,alisema ametoa mimba ila baada ya kuambiwa unajua unaweza kufungwa?ameita interview nyingine alafu anatoa boko lingine la biashara ya mumewe,yaani huyu Mmasai anamtumia vijana wa kumhoji dk 0
  12. naumbu

    Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Kwa nini huwa mnafikiria baba kutangulia tu?sheria hiyo hiyo inatumika mama akiondoka pia
  13. naumbu

    Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!

    Nje ya mada mkuu,naweza kupata wapi ripoti ya CAG ya TPA ya 2019/2020?
Back
Top Bottom