Mimi aje tuyajenge,nampa Hati ORIGINAL hata leo hii,lakini akileta janjajanja nimeshampa ONYO kabisa!!maana kwa uzoefu wangu nimeshashuhudia sana hayo mambo,kwamba mtu anamdhamini mtu Hati anapata Mkopo kisha anaingia mitini kufanya marejesho,mwisho wa siku Bank wanakuja kuuza nyumba
Na wewe ndio walewale,ni kupoteza muda kujibishana na nyie ambao mnataka kutuaminisha kwamba tuna Timu wakati ni UHARO tu,dakika 100 tupige Kona 3 halafu tuseme tuli-dominate mchezo!!![emoji1787][emoji1787]hii ni Man U UHARO kuliko Man U zote tangu Timu ianzishwe
Upo wapi??nina Nyumba na ina Hati DODOMA njoo PM tuyajenge,lakini ONYO kwako ni kwamba ukileta janjajanja tutagawana majengo!!njoo PM tukielewana sina tatizo
Mwana JF unanunuaje vitu mkononi bila risiti??ukiambiwa hizo bati ziliibwa kwa mtu na huyo muibiwa alinyongwa au alibakwa kwanza kabla hajaibiwa utasema nini?ogopa sana kununua vitu vya mkononi,utakuja kupewa Kesi ya MAUAJI kiutaniutani tu.Kumbuka aliyekutwa na Mfupa ndie aliyeiba Nyama
Naomba nijue kiwango chako cha Elimu Bwana Mwashambwa,halafu ni vema kwa jinsi unavyompamba Mke wa Mtu basi Mme wake AKUOE na wewe tu muwe Wake wawili,ni DG pale EWURA, nikuunganishe nae??
Hivi muda wa kuandika UHARO kama huu unautoa wapi??Dr.Tulia Mme wake ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA,wewe kila siku kuandika UHARO JF,hivi unapata faida gani??ukute hata Buku ya kunywa supu asubuhi hii huna lakini umeamkia JF kumpamba Mke wa Mtu[emoji848]Nchi hii wale DP World walipaswa kupewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.