Recent content by nasri.com

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    Utawala wa Ccm nisawa na ile story ya mfalme juha....Tbc sio shirika la Taifa ni shirika la CCM
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    Very smart boy
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 za CCM kuendelea kuongoza Tanzania

    Ninawasiwasi na elimu yako coz it seems uwezo wako wa uelewa ni mdogo sasa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kikao cha UKAWA leo: Lissu na Jussa waokoa jahazi, wajumbe nusura wafungashe virago

    Kaka unataka kusema hujui nini ndugu yako kikwete alichokosea ??au unataka kuonyesha nawewe unaweza kujenga hoja ?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    No coments
  6. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Kagera (March 01, 2014)

    We subiri tu kaka ipo siku watajuta ....watanzania sijui nani katuloga tena utashangaa huyo anaeshabikia nikjana tena alienda shule
  7. N

    JamiiForums Tanzania Leo Hakuna Bunge?

    Bunge lipo kaka linanza saa kumi na moja jioni
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tathmini matokeo ya uchaguzi Kalenga 2010- CHADEMA wana mtaji

    That true kaka ,inauma sana kuona kijana wakitanzania tena alienda shule anashibikia ccm ,
  9. N

    JamiiForums Tanzania Picha kalenga: CHADEMA yazidi kuipoteza CCM

    Kaka coment ikionyesha umenda shule kdogo .
  10. N

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la Kalenga,Mwigulu Nchemba atikisa Kalenga

    Honestly nashindwa kumuelewa kijana wa kitanzania alienda shule anaeshabikia ccm, napata wakati mgumu sana kumuelewa ,ajira hakuna ,bei juu za bidhaa ,mikopo elimu ya juu shda ,nenda vijijini ukaone hali halisi ya Tanzania inasikitisha ,watoto wanakaa chini hamna madawati wakati nchi hii imejaa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.

    Movement za chama ndo zinafanya mtu kuwa maarufu ,ccm inawabunge kalibu mala tatu ya wabunge wa chadema ,lakini leo nenda ata mtaani uliza watu wakutajie wabunge wa bunge la Tanzania basi kati ya kumi utakao tajiwa nane lazma wawe wa chadema .so wanaosema zito ni maarufu zaid ya chadema honestly...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rehema apoteza simu bungeni, Makonda atajwa...

    Hahahaaaaa ngoja nicheke labda naweza kubadili mtizamo juu ya nchi .kuanzia serikali mpaka wabunge wake nivutuko tupu .
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mimi nililima ruvu msimu uliopita bt charange ni shortage of labour ,pamoja na uvivu wawatu wa pwani kazi ya siku mbili anataka kufanya wiki nzima .
Back
Top Bottom