Tathmini matokeo ya uchaguzi Kalenga 2010- CHADEMA wana mtaji

Hothead

Senior Member
Mar 21, 2012
106
69
Wana Jamvi tufanye tathmini Kidogo. Kwa mtaji huu hapa chini matokeo
ya ubunge Kalenga mwaka 2010. Je CHADEMA wana mtaji?

IRINGA

WILAYA YA IRINGA
KALENGA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
MGIMWA WILLIAM AUGUSTAO
CCM
31,421
84.39
REHEMA MAKOGA MORINE PAULO
CHADEMA
3,356
9.01
KATINDASA JOHN LUMULIKO
TLP
934
2.51
MAKUKE ISMAIL MJINJA
JAHAZI ASILIA
332
0.89

SPOILT VOTES
1,191
3.2
TOTALS
37,234
100
 
Licha ya kuwa ni historia,ni ngumu kubadili matokeo hayo!!huo ndiyo ukweli.
 
That is challenge, CHADEMA needs to face. Na wanapoenda wanaamini watashinda hiyo changamoto.

Sidhani ikiwa mtu unaepambana na maisha unaamini katika kushindwa kwa kuwa mwaka jana ulishindwa. Unakuja na mbinu mpya.

Otherwise wewe ni muumini wa kushindwa.
 
Ni watu wenye uelewa mdogo wa siasa tena ya vyama vingi wanaoweza kulinganisha matokeo ya miaka takribani 4 iliyopita na kusema kuwa yanaonyesha matokeo ya sasa yatakavyokuwa. Kwenye siasa mbinu ya wiki moja tu kabla ya uchaguzi inabadilisha kila kitu acheni ulimbukeni nyie
 
Hapa Tz kuna tatizo kubwa sana la watu hawaelewi mambo ya msingi kabisa katika siasa na ndo maana CCM wanautumia huo ulimbukeni kupanga mbinu chafu na kushinda. Huwezi kuamini nchi yenye gas, makaa ya mawe uranium, madini ya chuma, almasi, dhahabu na vivutio vingi vya kitalii hivi mapato hayaonekani raia wake wengine wanashindia mlo mmoja, vijana wake "wanafaulu" elimu ya msingi nailihali hawajui kusoma wala kuandika, watu wanapandishiwa bei ya umeme na kila kitu kinaonekana ni sawa tu halafu uniambia Tz watu wanaelewa ni nin kinaendelea huku duniani. CCM imewalemaza watu kifikra sana na dawa yao ni kuwaondoa tu tupate fresh thinking people wtakaotupangia sera nzuri za maendeleo. Kenya ya Moi watu walidhani mambo ni sawa ila alipokuja Kibaki wakafumbuliwa macho uchumi ukakua kutoka 3.5 hadi 7.5 sasa Kenya ya UhuRuto wanawaza kuwa na uchumi wa double digit na hapa Tz tunadanganywa tu na data za makaratasi
 
Matokeo ya 2010 mpaka leo si ya kuyategemea sana kwa sababu zifuatazo:-
1 2010 mgombea wa sasa wa CHADEMA hakuwa CHADEMA.
2.Mgombea wa sasa wa CCM siyo yule aliekuwepo 2010.
3. Kwa mwafrika baba kufariki nawe ukarithi mke wake hata machozi hayaja kauka ni laana. Na hili litamtesa sana mgombea wa sasa wa CCM na wengine wanadiriki kusema kuwa alimuua baba yake ili arthi cheo chake.
3.Kuna ahadi nyingi alizoahidi aliekuwa mbunge na mefariki bila kuzitimiza. Na hili zigo litamwangukia mgombea wa sasa.
4.Hali ya kisiasa nchini imebadika kabisa hasa kutokana na vyama vya upinzani kutokuwa vya msimu
5............. muongezee wenzangu.
 
pia mgombea wa ccm wa sasa ni mwingereza wakati mgombea wa chadema ni mtanzania halisi wa kalenga hivyo kunakila sababu ya kushinda
 
Chadema hawana chao zaid ya kuibua hoja zisizo na msingi wala mashiko,wamefilisika kisera na kimaudhui, hivyo hawana jipya, Naiman na CCM
 
Ni changamoto kweli lakini si kitu cha kutisha. Historia huwa zinajengwa kwa kubadilisha yaliyokuwa yamezoeleka, lolote lawezekana hapo. kumbuka hata wagombea si wale wale wa 2010 na pia wananchi kuna mambo mengi ambayo wanaweza kuwa wameyafahamu au waliyategemea na hawakuyapata na kufanya maamuzi mengine.
 
Grace naye si aligombea kupita chama fulani nauliza tu?

mkuu. grace aligombea mwaka 2005 kupitia jahazi asilia. sasa sijui ni vigezi gani chadema walivyotumia kumpitisha grace na kumuacha rehema makoga
 
Hapa Tz kuna tatizo kubwa sana la watu hawaelewi mambo ya msingi kabisa katika siasa na ndo maana CCM wanautumia huo ulimbukeni kupanga mbinu chafu na kushinda. Huwezi kuamini nchi yenye gas, makaa ya mawe uranium, madini ya chuma, almasi, dhahabu na vivutio vingi vya kitalii hivi mapato hayaonekani raia wake wengine wanashindia mlo mmoja, vijana wake "wanafaulu" elimu ya msingi nailihali hawajui kusoma wala kuandika, watu wanapandishiwa bei ya umeme na kila kitu kinaonekana ni sawa tu halafu uniambia Tz watu wanaelewa ni nin kinaendelea huku duniani. CCM imewalemaza watu kifikra sana na dawa yao ni kuwaondoa tu tupate fresh thinking people wtakaotupangia sera nzuri za maendeleo. Kenya ya Moi watu walidhani mambo ni sawa ila alipokuja Kibaki wakafumbuliwa macho uchumi ukakua kutoka 3.5 hadi 7.5 sasa Kenya ya UhuRuto wanawaza kuwa na uchumi wa double digit na hapa Tz tunadanganywa tu na data za makaratasi

That true kaka ,inauma sana kuona kijana wakitanzania tena alienda shule anashibikia ccm ,
 
Back
Top Bottom