Mh. Mgimwa kajibu Propaganda zenu kwa hoja leo mnasema ana lia lia kwenye Media Uongo wenu umesambaratishwa kwa hoja sio matusi? Tarehe 28th February,Naibu Katibu Mkuu, Mpambanaji na Gwiji la Siasa hapa Nchini Ndg Mwigulu Lameck Nchemba Mtetezi wa Wanyonge aliezamisha Kamati ya Kina Mbowe ya kudai nyongeza za Posho anakuja kuleta Zilzala katika Mji na Viunga vya Mkoa wa Iringa kuzindua kampeni za Mbunge Mteule. Kazi ya CCM ni kuteua Mbunge Mteule, Yenu ni kuteua Mshiriki wa Uchaguzi. Endeleeni kuishi kwa Matumaini ila Lazima Mshughulikiwe kikamilifu kwenye Sanduku la Kura.