Sababu 10 za CCM kuendelea kuongoza Tanzania

Sababu 10 za CCM kuendelea kuongoza Tanzania

Kuna vitu naomba vitokee kabla sijafa kwanza kuanguka kwa ccm na pili taifa starz ishiriki kombe la dunia. Endapo ccm itaangamia nikiwa hai nafkiri itakua ni moja ya furaha kubwa maishani. R.I.P ccm

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
vyama vya upinzani hasa chdm havijajpanga kuaminiwa na wananchi
 
Nakushauri usiendelee wala nini, maana unajidhalilisha tu.
 
Si makada tu, hata Mbowe alichukuwa Million 100 kutoka kwa Rostam.

Chadema kama chama mara kwa mara kimekuwa kikihongwa waziwazi na kada maarufu wa CCM Mzee Sabodo:



Kwa hiyo usisingizie makada tu, sema ukweli.

Ebu muangalie babu anavyomezea mate mtonyo
 
Kuna vitu naomba vitokee kabla sijafa kwanza kuanguka kwa ccm na pili taifa starz ishiriki kombe la dunia. Endapo ccm itaangamia nikiwa hai nafkiri itakua ni moja ya furaha kubwa maishani. R.I.P ccm

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mzee!! Ukitaka kufa we kufa tu, lakini hivyo vitu unavyo tegemea vitokee kabla ya wewe kufa naona ningumu kabisa kutokea. Bola ufe ukawahi nafasi kubwa.
 
So yericko kasema marando ni msaliti!!

Kaka ndo hivyo...kwani Marando anatoka kaskazin kaka? Nimeichoma.moto kadi ya CHADEMA baada ya kutoka SUA,niko huru kiitikadi saiv,kamwe ntahakikisha hakuna ndg yangu hata mmoja atakayempgia kura mgombea urais kutoka vyama vya ki.j.inga km hivi
 
Ndio tatizo la kuamini kuwa Mbowe na Slaa watabadilisha maisha yako hatimae unachanganyikiwa akili,kijana jitambua na uchukue hatua acha kutumika.
 
jamani!! hivi kaka yetu MAIKAl P Aweda yuko wapi aisee! Simuoni tena Jf wala ITV! nani ana habari zake, tusije tukapuuzia kumbe mwenzetu kapata mkasa!
 
Last edited by a moderator:
Sababu ya 11.
kumwagia watu tindikali, kulisha watu sumu, kujilipua mabomu kwenye mikutano, ubaguzi wa kikabila na kidini, ukanda na timua timua

unashida gan au unataka kuzaa huku umesimama nn,,, unasikia raha kuongea utumbo wa konokono
 
Duh CHADEMA inaonenyesha Mlichezea Kipigo cha maana huko KALENGA...
Ina maana Yale maumivu hayajaisha mpaka leo ?
Pamoja na kulala kwenye nyumba za ma masister?
 
Wapinzani wamebaki dodoma kwa ajili ya mshiko tu na si vinginevyo, wanajua katiba mpya ni ndoto! Kinachowafanya waendelee kubaki dodoma ni 300000 per day na sio vinginevyo!
 
kwahiyo chadema mshajua hamuwezi kuwaondoa ccm?.....huoni kwa thread hii umewarudisha nyuma na kuwavunja moyo makamanda wengi wanaotaka mabailiko nchi hii?.....wewe ndo unajiita kamanda waukweli?mpambanaji?...unahubiri ushindi wa ccm na kushindwa cdm?..............nimeamini kweli CCM DAIMA
 
Angalizo; Ukivunjika muungano ni wazi sana kuwa CCM itaparangayika na wengine watapoteza ajira zao,ndio maana wanatumia mbinu zao chafu na kutumia udhaifu ambao umeuainisha vizuri hapo juu." Vunja muungano huu feki".
 
Back
Top Bottom