Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.

Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.

Mkuu kuhalalisha ulicho kisema ni sawa na kusema hakuna aliyemkubwa kuliko CHADEMA kama taasisi.

Soma hapa..

Haya aliyanena Zitto Z. Kabwe miaka miwili iliyopita:

"Tumegundua kuwepo kwa juhudi za makusudi kutugombanisha CHADEMA.
Hiki ni chama makini, kimezibaini njia hizo na kwa hakika hakiwezi kusambaratishwa.
CHADEMA ndiyo imenipa Umaarufu mimi. Mimi si maarufu kuliko Chama, CHADEMA ni taasisi.
CHADEMA ni chama ambacho kina misingi katika uanzishwaji wake.

Wanasema eti nilishinda kwa umaarufu wangu binafsi. SI KWELI. Niligombea ubunge nikitokea shule. Sikuwa najulikana. Niliikuta 'grassroot network' ya Chama.

Hakikujengwa na mimi. CHADEMA ilijengwa na uongozi uliokuwepo. Nilikuta uongozi intact ( imara). Katika kila kijiji kulikuwa na uongozi na hata katika vitongoji vyote.

Wakati naingia kugombea ubunge kulikuwa na wanachama wa CHADEMA wenye kadi wanaofika 10,800 katika jimbo zima.
Hawa sikuwatafuta mimi, niliwakuta na ndio waliofanikisha ushindi wangu.

Katika mazingira kama haya utasemaje kuwa mimi ni maarufu kuliko chama wakati chama ndicho kimenipa umaarufu?.

CHADEMA ni Chama ambacho wenyeviti wake wastaafu wanaendelea kuenziwa na kuhudhuria vikao vyote vya Chama. Institutional memory ipo kuliko katika vyama vyote vya upinzani.

Alipohama Dr Aman Walid Kabourou, wengi walidhani ndiyo mwisho wa CHADEMA Kigoma, lakini leo hii CHADEMA ni moto Kigoma kuliko ilivyokuwa awali".

Chanzo: Chadema ni msingi.

pamoja sana kamanda kwa kutuletea nukuu zenye ushahidi tosherezi. Kazi ni kwao vibaraka wanao jaribu kuzuia upepo kwa kutumia viganja vya mkono. Ukweli utabaki ukweli hata kama watabisha.
 
Kwani shonza ninani katika siasa za nchi hii? Ndo maana nasema uelewa Mdogo au ushabiki tu mwafanya km mfanyavo kwenye soka jmn siasa ni maisha huyu unayemdharau leo kesho Rais wako tuwe na upeo na akili ya uchambuzi kwenye siasa hakuna Rafiki au adui Wa kudumu tuwaheshimu wenzetu tubishane kwa hoja na Sera si matusi na kejeli

mkuu UMEELEWA TOPIC LAKINI ? TUNAMAANISHA KWAMBA CDM IKO KAMA NYAVU ZA WAVUVI HARAMU , INASOMBA HATA MAZALIO YA SAMAKI ! KINGINE NI KWAMBA HUNA HAJA YA KUMUONEA HURUMA HUYU DADA , ALIPOFUKUZWA CDM ALITOA AHADI YA KUKIBOMOA CHAMA , SWALI NI JE AMETIMIZA ALICHOAHIDI ?
 
unafahamu aliyempoke shonza kipindi alipofukuzwa na chama pendwa kwa usaliti wake?
 
mkuu UMEELEWA TOPIC LAKINI ? TUNAMAANISHA KWAMBA CDM IKO KAMA NYAVU ZA WAVUVI HARAMU , INASOMBA HATA MAZALIO YA SAMAKI ! KINGINE NI KWAMBA HUNA HAJA YA KUMUONEA HURUMA HUYU DADA , ALIPOFUKUZWA CDM ALITOA AHADI YA KUKIBOMOA CHAMA , SWALI NI JE AMETIMIZA ALICHOAHIDI ?

pamoja sana kamanda! Bado kidogo wataelewa somo.
 
Watu wanaamini ktk chama kama taasisi na siyo mtu mmoja mmoja"watu wanaamini chama cha cdm ndio mbala wa ccm kwa sasa"huwezi ukamwamin mtu mmoja badala ya taasisi nzima
 
Watu wanaamini ktk chama kama taasisi na siyo mtu mmoja mmoja"watu wanaamini chama cha cdm ndio mbala wa ccm kwa sasa"huwezi ukamwamin mtu mmoja badala ya taasisi nzima

pamoja sana kamanda.
 
mkuu UMEELEWA TOPIC LAKINI ? TUNAMAANISHA KWAMBA CDM IKO KAMA NYAVU ZA WAVUVI HARAMU , INASOMBA HATA MAZALIO YA SAMAKI ! KINGINE NI KWAMBA HUNA HAJA YA KUMUONEA HURUMA HUYU DADA , ALIPOFUKUZWA CDM ALITOA AHADI YA KUKIBOMOA CHAMA , SWALI NI JE AMETIMIZA ALICHOAHIDI ?

Kwani cdm hakijabomoka? Chama kutumia bilioni na kupata kata 3 ushangai
 
Movement za chama ndo zinafanya mtu kuwa maarufu ,ccm inawabunge kalibu mala tatu ya wabunge wa chadema ,lakini leo nenda ata mtaani uliza watu wakutajie wabunge wa bunge la Tanzania basi kati ya kumi utakao tajiwa nane lazma wawe wa chadema .so wanaosema zito ni maarufu zaid ya chadema honestly watakuwa na matatizo ya akili .
 
nashukuru mkuu kwa kulitambua ilo. Kiukweli kuna watu wachache ambao wanafahamika kama bk7 fc kutoka limumba. Wanapinga kilakitu,lakini si washangai kwani wao wamezoa kununua uongozi kwa kutumia pesa zao. Ili ukiteuliwa na cdm hakuna haja ya kutumia pesa zaidi ya kutumia peoples power.
 
Hiki chama bado sijajua malengo ya kuanzishwa kwake ni kushindana na Chadema au nini, maana naona mtaji wao ni kuisakama Chadema, sijui ndio upinzani wao huo, tangazeni sera zenu ni zipi ili wananchi wawapime kama mnajipya, ukiona chama kimeanzishwa halafu kinajenga bifu na Chadema, jua kabisa hiyo ni plani ya ccm kuendelea kuihujumu Chadema kama chama kikuu cha upinzani.

chadema ni kama shetani, lazima tuipinge kwa nguvu zote matendo yao maovu ya kulipua mabomu soweto, kumwagia watu tindikali, utekaji, na jaribio la kumuua zito kwa sumu
 
chadema hatuwataki vyasaka ,hiki ni chama chetu cha kaskazini, watu wa kanda nyingine hamieni act
 
We mleta mada nahic una akili sana naomba uwaeleweshe wengine ambao mpaka Leo bado hawajashituka toka ucngizini .chadema ni mpango wa mungu
 
utakuwa taahira wewe sio hivi hivi tu. akina kafulila, mkosamali, machalii na wengine wamefukuzwa chadema na slaa akawaita sisimizi. je tangu wamefukuzwa chadema chati yao imeshuka au imepanda? hivi nyie mnatumia viungo gani kufikiria? kusoma hamjui hata picha ukutani mnashindwa kuona? ajabu hii.

Kiukweli wanajamvi nimetamani kushare nanyi jambo ili,ambalo nimelifanyia utafiti mdogo nanikafanikiwa kubaini kitu.
Mimi nimesema na nafsi yangu na wewe sema na nafsi yako kwanza kisha changia.
Ndugu zangu kiukweli nimewafatilia kwa ukaribu karibu wote waliojitoa na kufukuzwa uwanachama ndani ya chadema,kiukweli wanakuwa kama weu alafu wanapungukiwa vitu vifuatavyo kama vile kukosa tena mvuto katika jamii,pia hawana hoja wanapokua wanaongea mbele ya watu. Kutokana na machache niliyoyabaini,nalazimika kusema ya kwamba;chadema inawabeba wanachama wake tofauti na tunavyo aminishwa na wasaliti wetu eti bila mimi chadema(samanini nimebana pua na kubinjua midomo kuonyesha nijinsi gani walivyokua wananichefua). Ila kama unabisha wafatari kwa ukaribu karibu wote walio tumuliwa na wale wote walio iama chadema. Lazima utawaona wanaongea pumba.

Soma hapa..
Haya aliyanena Zitto Z. Kabwe miaka miwili iliyopita:"Tumegundua kuwepo kwa juhudi za makusudi kutugombanisha CHADEMA.
Hiki ni chama makini, kimezibaini njia hizo na kwa hakika hakiwezi kusambaratishwa.CHADEMA ndiyo imenipa Umaarufu mimi.Mimi si maarufu kuliko Chama, CHADEMA ni taasisi.CHADEMA ni chama ambacho kina misingi katika uanzishwaji wake.Wanasema eti nilishinda kwa umaarufu wangu binafsi.SI KWELI. Niligombea ubunge nikitokea shule.Sikuwa najulikana. Niliikuta 'grassroot network'ya Chama.Hakikujengwa na mimi. CHADEMA ilijengwa na uongozi uliokuwepo. Nilikuta uongozi intact ( imara). Katika kila kijiji kulikuwa na uongozi na hata katika vitongoji vyote Wakati naingia kugombea ubunge kulikuwa na wanachama wa CHADEMA wenye kadi wanaofika katika jimbo zima.Katika mazingira kama haya utasemaje kuwa mimi ni maarufu kuliko chama wakati chama ndicho kimenipa umaarufu?CHADEMA ni Chama ambacho wenyeviti wake wastaafu wanaendelea kuenziwa na kuhudhuria vikao vyote vya Chama.

Kumbe hata zito alilijua hili?
 
ccm wanaoingiza madawa ya kulevya na kuuwa tembo ,kupiga mapanga wanachama wa chadema hujaona kama ccm ni wauwaji.kazi yako kukishobokea chadema utaolewa

pamoja sana mkuu! Ila kitu ambacho nimekiona kutoka kwenye utawala wa ccm nikwamba,hawakujianda kisaikoroji na kimazingira katika kuikabidhi nchi mikononi mwa chadema. Kwaiyo mimi na wewe tutakua mashahidi pale ccm watakapo endeleza machafuko na kutorosha amani tuliyopata kuwanayo kwa muda mrefu.
 
Pamoja sana mkuu
 
Chadema inaogopeka sana.kila kukicha ni kuitukana tu.viva chademaaa.peoples...hakunaga kama chadema.
 
(samanini nimebana pua na kubinjua midomo kuonyesha nijinsi gani walivyokua wananichefua).
Hizo ni dalili zote za ushoga. Mwanaume utabinua vipi midomo nakubana pua, halaf unaskia kichefchef, daaaaaah!!! Kwahiyo unaliwagwa 0713???? Acha hizo.
 
Chadema inaogopeka sana.kila kukicha ni kuitukana tu.viva chademaaa.peoples...hakunaga kama chadema.

pamoja sana kamanda. Ila muendeleze kukijenga chama,kila sehemu ili tuweze kujiakikishia ushindi kila sehemu
 
Back
Top Bottom