Recent content by nashicha

  1. nashicha

    Makonda angejua kona aliyopo Angepumzika siasa

    Sijui bado ni mtoto kijana au kutokujielewa kwa umri japo tunasems kwenye Siasa hakuna adui wa kudumu huyu makonda alitakiwa sjishtukie kidogo kuangalia kushoto na kulia kwake mbele na nyuma anajikuta yupo katikati ya watu aliowatangazia mambo ya KIHUNI na UZUSHI mkubwa kiwa ni wauza madawa wezi...
  2. nashicha

    Waziri Bashe: Upatikanaji wa Sukari hauhusiani na masuala ya Kidini

    Nawaomba serikali mjitokeze kutupa mrejesho kama sukari ni kwa ramadhani tu au kwaajili ya watu wote maana tunateseka kisa Ramadhani haijafika je Wakristo waliofunga inakuwaje
  3. nashicha

    Waziri Mkuu: Sukari haitakuwa tatizo Ramadhani

    Nimeuliza swali je kwakuwa Wakristo wamefunga zaidi ya siku 16 je wao sio Watanzania au Waislam tuu
  4. nashicha

    Waziri Bashe: Upatikanaji wa Sukari hauhusiani na masuala ya Kidini

    Naomba mnisaidie wanajamii forum kwa panoja nimemwona wazri Bashe akitoa ahadi ya sukari kuwa nafuu mpaka Ramadhani ikianza najiuliza maswali je wale Wasio Waislam ambao wameanza mfungo zaidi ya siku 15 walipaswa kuteseka na hali hii kununua kilo moja ya sukari 6000 kwanini kila anaeongelea...
  5. nashicha

    Makonda anazidi Kuipausha CCM kwa utoto

    Niwaulize CCM kweli ni vizuri kumuweka mtu wa aina ya Balozi Emanuel Nchimbi mwenye ueledi wa juu na siasa za kistaarabu kufanya kazi Makonda? Mh Kinana kwanini hukumshauri Rais mkiona watu kwenye mikutano ya makonda ujue wanakwenda kumshangaa je ni kweli ni yeye?? CCM inakufa kifo cha kunywa...
  6. nashicha

    Tulipofika Makonda Ndiye Kinara wa Siasa za Tanzania iwe CCM au Upinzani, Je Uchumi Wetu Unapaa au haupai?

    Wanakwenda kwenye mikutano ya makonda wanafuata kumshangaa au kusikiliza ubovu wake na kujua mtu aliyekuwa na siasa za hovyo kama huyu ni nani hata Sabays akiitisha mkutano lazima watu wajae kuona huyu mtu amefilisika kiasi gani
  7. nashicha

    Umeme na sukari inatosha kuwaondoa

    Nchi nzima ipo gizani sukari kilo 5,400 mtu anakuja kukuomba kura kwa tiketi ya CCM hakuna haja ya kumuuliza swali maana akija akikuta umeme sukari hataikuta, akikuta sukari umeme hataukuta. CCM imechoka sanaaa na wamedanganya mpaka uongo umekwisha.
  8. nashicha

    Waziri wa Viwanda na Biashara upo?

    Mimi leo nimenunua sukari 4300 kilo moja nikafanya uchunguzi duka lingine 4500 tuwe wakweli viwanda vinazalisha bei iko juu waziri bubu ccm bubu wabunge bubu shida ya kupewa bure ubunge ndio wananchi tunaumia
  9. nashicha

    Waziri wa Viwanda na Biashara upo?

    Sukari sasa kilo moja ni Tsh 4500! Hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge, waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali. CCM ipo kimya, Makonda anapanda farasi na baiskeli tuu hivi ni kweli hawajui hii hali?
  10. nashicha

    Serikali kutoa milioni moja kama mkono wa pole kwa ndugu wote waliopoteza wapendwa wao

    Kwa Yanga na Simba kila goli milion Tano mpaka kumi
  11. nashicha

    Chalamila naona umepitiwa kaka

    Chalamila hata ukimwangalia usoni kwa umakini utagundua ana tatizo kidogo la Afya ya akili mifereji imejaa maji nyumba za watu zinabomolewa na mafuriko Kuta zimejengwa barabarani shule watoto wadogo wanaokotwa wamesombwa na mafuriko hajui yeye anahangaika na starehe za watu unamwona mpaka...
  12. nashicha

    Philipo Mulugo: Nashauri Rais avunje Baraza la Mawaziri kwakuwa Wameahindwa kuwawajibisha wabadhilifu wa mali za umma

    Mkuu tatizo hizo ofisi hazina meno hata ya kunywa maziwa zinaweza kumkamata nani?? Zikienda kila Kona wakurugenzi DED RAS wote ndugu wa wakubwa waliowateua katiba ya Kenya RC Waziri anakamatwa na DCI NA DPP Hawa watu KATIBA IJE IWAPE MENO UTAONA KAZI
  13. nashicha

    Philipo Mulugo: Nashauri Rais avunje Baraza la Mawaziri kwakuwa Wameahindwa kuwawajibisha wabadhilifu wa mali za umma

    Kutokana na ubadhirifu uliopo kwenye serikali mbunge Mulugo amemwomba Rais alivunje Baraza la mawazi na kuliunda upya maana watendaji wanajichukulia pesa kama shamba la bibi hakuna usimamizi wa pesa za wananchi. -- Katika mjadara mzito unao endelea huko Bungeni Dodoma kuhusu ripoti ya CAG...
  14. nashicha

    Tusimseme Paul Makonda tumrekebishe binaadam wote tunakosea

    Uliyeandika hapa hili shairi sijui jinsia yako laiti ungeungana na waliumizwa na majeraha makubwa ya watu ungekuwa wa kwanza kumwambia atazame nyuma sauti za watu zinavyomlilia Mimi nasema hakuna Mungu ansependa binadamu amuumize au kumuua binadamu mwenzako damu yake inakulilia wewe na kizazi...
Back
Top Bottom