Tusimseme Paul Makonda tumrekebishe binaadam wote tunakosea

Abby Uladu

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
2,031
4,236
Habari za muda huu ndugu zangu.

Nimepita katika media nyingi tangu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ateuliwe kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM Paul Makonda.

Kwabahati mbaya zaidi uteuzi wake umekuwa na scenario nyingi sana kwanini?

Ukisoma habari nyingi zenye kumhusu yeye kwenye uwanja wa comments wengi wamekuwa wakimtukana, wakimkosoa, wakimtupia vijembe mbaya zaidi wengine wamefikia hatua ya kufukua makaburi kabisa kwa mambo yake yaliopita.

Makonda ni binaadamu kama wengine yeye pia anakosea kama wengine...hakuna haja ya kumfanya kama kiumbe mwengine kana ya kwamba akosei la hasha!!

Napendekeza makonda apewe ushauri,arekebishwe kiustaarabu na akosolewe kwa hoja madhubuti ili kumjenga kifikra

Tumeshuhudia wengi wamekosea mbona tuliwasamehe? Kwanini makonda asisamehewe?

Yeye ni nani? Ana nini? Na kwanini ? Mpaka nyuzi zaidi ya 10 la jukwaa la siasa ni za kumtusi na kumkejeli?

Ushauri wangu kwa makonda

Huu ni muda wa kuwa mpole na asivimbe tena na madaraka hata hivyo ajue kuwa waliokuwa chini yake wapo waliomzidi umri na hekima zaidi yake hivyo azingatie heshima na busara katika kuwaamrisha kutekeleza majukumu yao

Naomba wenye ushauri, mapendekezo,maoni na dukuduku tumshauri makonda apate kujirekebisha

NB:mm sio CCM na sitokuja kuwa CCM ila kuna protocol Fulani za uongozi naona makonda anazo

Kuna mwalimu wangu mwaka 1994 alikuwa nasema "Hakuna uongozi pasipo ukakamavu na hakuna demokrasia pasiko na udikteta" hii nimekuja kuielewa kuanzia 2015-to.......?

#Binaadam wote tunakosea#

Nitarudi.
 
Komredi Kinana majuzi msibani katoa darasa huru... Kama Paulo hakuelewa lile darasa hawezi kuelewa chochote!!
 
Kwahiyo mkuu kila anayekosea anatakiwa arekebishwe tu na sio kuwajibishwa?

Kama ndivyo; hii dunia ingekuwa na walihalifu kweli.

Mfano mwizi kaniibia, niwe namrebisha. Akirudia kuiba tena niwe namrekebisha, nakuendelea.. Sasa atakuja kuacha lini huo uharibifu?

Akosae anapaswa kuwajibishwa. Wengine wachukue nafasi yake.
 
Uliyeandika hapa hili shairi sijui jinsia yako laiti ungeungana na waliumizwa na majeraha makubwa ya watu ungekuwa wa kwanza kumwambia atazame nyuma sauti za watu zinavyomlilia Mimi nasema hakuna Mungu ansependa binadamu amuumize au kumuua binadamu mwenzako damu yake inakulilia wewe na kizazi chako hata mke na watoto wako hawawezi kuishi kwa furaha
 
Makonda simama hapo hapo,na usimamie hicho hicho,usibadilike,ukiona analia jua umegusa penyewe.

Taifa letu Tanzania,wengi wanaojifanya kukurekebisha ni magenge ya waharifu,hayataki kukuona unayakwamisha,ni sawa na malalamko ya mainz kwenye mzoga.
 
Ni lazima kwenye maendeleo ya nchi wengine waweze kuumia,kwa mfano,wauza madawa hawatampenda makonda,mashoga pamoja na baba yao marekani,hawatampenda makonda.
 
Makonda simama hapo hapo,na usimamie hicho hicho,usibadilike,ukiona analia jua umegusa penyewe.

Taifa letu Tanzania,wengi wanaojifanya kukurekebisha ni magenge ya waharifu,hayataki kukuona unayakwamisha,ni sawa na malalamko ya mainz kwenye mzoga.
Hakika mm napenda misimamo yake ila ana mambo flani ya hovyo ana ustaarabu na ana busara hapo ndipo anapofeli

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Uliyeandika hapa hili shairi sijui jinsia yako laiti ungeungana na waliumizwa na majeraha makubwa ya watu ungekuwa wa kwanza kumwambia atazame nyuma sauti za watu zinavyomlilia Mimi nasema hakuna Mungu ansependa binadamu amuumize au kumuua binadamu mwenzako damu yake inakulilia wewe na kizazi chako hata mke na watoto wako hawawezi kuishi kwa furaha
Mkuu ukipelekwa mahamani ukatoe uthibitisho Una ushahid unaweza kutoa au wewe ndio Wale wale bendera fata upepo...chuki binafsi?

Au ?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mkuu kila anayekosea anatakiwa arekebishwe tu na sio kuwajibishwa?

Kama ndivyo; hii dunia ingekuwa na walihalifu kweli.

Mfano mwizi kaniibia, niwe namrebisha. Akirudia kuiba tena niwe namrekebisha, nakuendelea.. Sasa atakuja kuacha lini huo uharibifu?

Akosae anapaswa kuwajibishwa. Wengine wachukue nafasi yake.
Kwahy waliomteua hawakuona? Je wangap wamekosea na wamesamehewa? Wewe hujawai kukosea ukasamehewa?

Hoja yangu ni kwamba arekebishwe

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Habari za muda huu ndugu zangu.

Nimepita katika media nyingi tangu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ateuliwe kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM Paul Makonda.

Kwabahati mbaya zaidi uteuzi wake umekuwa na scenario nyingi sana kwanini?

Ukisoma habari nyingi zenye kumhusu yeye kwenye uwanja wa comments wengi wamekuwa wakimtukana, wakimkosoa, wakimtupia vijembe mbaya zaidi wengine wamefikia hatua ya kufukua makaburi kabisa kwa mambo yake yaliopita.

Makonda ni binaadamu kama wengine yeye pia anakosea kama wengine...hakuna haja ya kumfanya kama kiumbe mwengine kana ya kwamba akosei la hasha!!

Napendekeza makonda apewe ushauri,arekebishwe kiustaarabu na akosolewe kwa hoja madhubuti ili kumjenga kifikra

Tumeshuhudia wengi wamekosea mbona tuliwasamehe? Kwanini makonda asisamehewe?

Yeye ni nani? Ana nini? Na kwanini ? Mpaka nyuzi zaidi ya 10 la jukwaa la siasa ni za kumtusi na kumkejeli?

Ushauri wangu kwa makonda

Huu ni muda wa kuwa mpole na asivimbe tena na madaraka hata hivyo ajue kuwa waliokuwa chini yake wapo waliomzidi umri na hekima zaidi yake hivyo azingatie heshima na busara katika kuwaamrisha kutekeleza majukumu yao

Naomba wenye ushauri, mapendekezo,maoni na dukuduku tumshauri makonda apate kujirekebisha

NB:mm sio CCM na sitokuja kuwa CCM ila kuna protocol Fulani za uongozi naona makonda anazo

Kuna mwalimu wangu mwaka 1994 alikuwa nasema "Hakuna uongozi pasipo ukakamavu na hakuna demokrasia pasiko na udikteta" hii nimekuja kuielewa kuanzia 2015-to.......?

#Binaadam wote tunakosea#

Nitarudi.
Arekebishwe mara ngapi. Huyo ni loose canon, na wanaomtumia wanafahamu hilo.
 
Back
Top Bottom