nashicha
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 279
- 517
Kutokana na ubadhirifu uliopo kwenye serikali mbunge Mulugo amemwomba Rais alivunje Baraza la mawazi na kuliunda upya maana watendaji wanajichukulia pesa kama shamba la bibi hakuna usimamizi wa pesa za wananchi.
--
Katika mjadara mzito unao endelea huko Bungeni Dodoma kuhusu ripoti ya CAG, Mbunge wa jimbo la Songwa Mhe. Philipo Mulugo Ameshauri Rais avunje baraza la Mawaziri kwakuwa Wameahindwa kuwawajibisha wabadhilifu wa mali za umma.