Recent content by nash queen

  1. nash queen

    Skinny girls ni kila kitu!

    Mh Leo na sisi zamu yetu kusifiwa kweli kutesa kwa zamu
  2. nash queen

    Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Mtaani wanakujua Kama Nani ke au me
  3. nash queen

    Kwa mliowahi na mnaotumia mafuta ya castor oil

    Ni mafuta mazuri nayapenda mno nywele zangu nzuri mno alafu zinakuwa hatari
  4. nash queen

    Huyu housegirl wangu anayaweza mambo zaidi ya wife

    Hongera mkuu ila usiteme big g kwa karanga za kuonjeshwa
  5. nash queen

    Kwanini wanaume wanapenda kuoa wanawake wenye sura na maumbo mabaya?

    Mbona Jacklin mengi faraja nyarandu Nance summary wanamaumbo mazuri na wamedumu kwenye ndoa hata huku mtaani kwetu kuna wamama na wadada wazuri wameolewa siku nyingi na wapo kwenye ndoa zao hadi Leo huo utafiti wako sijauelewa umeufanyie kijiji kipi
  6. nash queen

    Mama wa mtoto wangu anataka nimsomeshe

    Cha msingi atafute chuo ambacho kipo karibu na makazi yenu awe anaenda anarudi nyumbani hapo hakutakuwa na ntafaruku
  7. nash queen

    Mama wa mtoto wangu anataka nimsomeshe

    Mpe elimu kwaajili ya mtoto wako mpe elimu huku ukijiwekea garantee ya kuwa mwanao au watoto wako hawatakuja kuishi kwa shida as longer as mama yao atakuwa na elimu nzuri na kazi hilo la kuachana ni mipango ya mungu Kama anakupenda hatokuja kukuacha kamwe na dini atabadilisha iz just a matter of...
  8. nash queen

    Nimevunja Uchumba Rasmi jana jioni. Kwa amani kabisa pasipo chuki. Nimeshindwa kuendelea

    Haha mm ndo ningekuwa huyo mwanamke isingeniuma kbsa kuachana na mwanaume Kama Ww coz we all know kila mtu ana past yake iweje ww uje umuhukumu mtu kisa past ya maisha yake hajakukosea chochote huyo Dada hao ni ma X na enzi hizo hukuwepo kwenye maisha yake ndo maana akatembea nao unawivu mbaya...
  9. nash queen

    Wanaume acheni tabia ya kusema tunatoa harufu sehemu za siri, baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali

    Mwanamke yyt anayetoa harufu ni mgonjwa anaumwa fangas sugu alafu yy hajielewi jaman wanawake wote mliowahi kukutwa na hii dhahma ya mnuko wa K nenden hospital mkatibiwe wala msijione eti nyie mliumbwa hivyo K zenu zinanuka msijisikie vbaya mkakata tamaa nyie ni wagonjwa msiojua Kama mnaumwa so...
  10. nash queen

    Kama hii ni kweli basi Wanaume wengi tunachekwa sana Vitandani

    Huo ndo ukweli mkuu believe it or not
  11. nash queen

    Mwanaume Kuvaa Kanga...

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]my libs
  12. nash queen

    Mwanaume Kuvaa Kanga...

    Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. nash queen

    Mwanaume Kuvaa Kanga...

    Khaaaaa wanawake cjui tunatakaga nn jmn yani huyu kila kitu anapewa na kufanyiwa lkn bado tu hajalidhika kuna kitu kinamuuma eti kwann havai khanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. nash queen

    Mke mwenye wivu uliopitiliza

    Weka passwd kama hataki aondoke
Back
Top Bottom