Skinny girls ni kila kitu!

Skinny girls ni kila kitu!

sanny.jpg
 
Serious napenda sana wasichana wembamba,Mi wowowo siyo kitu,skinny girls hata sita kwa sita dah naona nimegusa penyewe,kiuno kadogo,wowowo kadogo ya kishikaji hata akibinua unaenjoy,kifua kadogo ,kwanza ukimkamata unaona anaenea kifuani unasema hapa nimekamata umbile la kike.
Big up skinny girls!
Dah mkuu hapa ndo penyewe
 
Boss ugonjwa wetu unafanana...ila nnachosikitika ni kwamba mwisho wa siku ntaoa mwanamke mnene,cjui ilikuwaje sikufuata utashi wangu...demu nlienda kuposa kakosa standard hii ya uskinny..huyu nliye nae ntapigisha mazoezi na diets ya kufa mtu mpaka akidhi standards zangu.
 
Mkuu kweli mfanyishe zoezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom