Nitajitahidi kuelezea kwa lugha rahisi sana.... Kimsingi kila jambo linalotokea hapa duniani, yaani katika hali ya mwili huwa linaanzia kutokea kwanza katika hali ya kiroho. Unashangaa? Ulimwengu wa roho ndio unaosababisha/unaathiri mambo yatokee kama yanavyotokea katika ulimwengu wa mwili...
Naelewa hata nikiwa na kazi huenda kesho ikanisumbua au ikatusumbua. Lakini hiyo haimaanishi kwamba tukae tu tuingoje kesho, tunajaribu kufanya kila lililo ndani ya uwezo wetu kujiandaa ili kesho ikija kivingine ni/tuweze kuikabili. Yapo mambo mengi sana hatuyajui kuhusu kesho. Ni vema kujiandaa.
Kwa kweli mimi ningefurahi sana kuambiwa hivyo kwa sababu ingemaanisha kuwa napata muda zaidi wa kuhudumia familia kama Mama.
Kitu pekee ambacho kingenisumbua ni "Hofu ya kesho"!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.