Recent content by Napenda hela

  1. N

    Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

    Hongera tutakuaga rasmi
  2. N

    Tuendelee kuwaombea wenzetu wa Mashariki ya kati

    Jamani tuendelee kuwaombea wenzetu mashariki ya kati watu wasio na hatia wanateseka. vita sio vizuri, watoto wanateseka sana, naandika hapa machoz yananitoka. wakati nikiwa secondary nilisoma kazi moja wapo ya UNO, iliyo anzishwa mwaka 1945 nilikariri neno moja tu "To promote peace in the...
  3. N

    Kuanzia leo nimeacha kushabikia mpira wa Tanzania

    Ndugu zangu labda sjatoa sbb lakin,wakati naangalia mpira ulipoisha tu,nilitapka xna,sasa nikaona huenda ninashida😁😁,ndio maana nimejitoe kbx,ila mm sinatimu
  4. N

    Kuanzia leo nimeacha kushabikia mpira wa Tanzania

    Mimi hapa napenda Hela,NIMEACHA KUSHABIKIA MPIRA wa Tanzania,hapa mnapo niona ndio mwisho,Rafki zangu wa vibanda umiza, najua hamtaniona Tena, Nimejitoa Kwa hiari,naendapo nitashabikia mpira wa Tanzania mniite mmbwa,paka,nyani,ngedere,Axanteni xna
  5. N

    Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

    Kuna barua naona inasambaa kwenye mtandao,naona imetokea CAS ikionesha kuwa tumeshindwa,Sasa basi kama ni kweli,nilikuwa nashauri jambo moja,mnapo amua kufanya jambo,Kuna mambo matatu ya kuzingatia,kwanza mfikirie,pili mtafakari,tatu mtoe maamuzi,ni jambo la aibu sisi kushindwa Kila jambo,hata...
  6. N

    PreGE2025 John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA

    Naomba niende moja kwa moja,Huyu mtu anayeitwa John mvivu,,hana shughuli zingine za kufanya? Kwan nilazima uwe na chama,hapo ndio nipo jifunza kuwa unapokuwa kiongoz wa chama huende kunaupgaji mwingi,haiwezekan mtu unafukuzwa uanachama unakuwa KiNG'ANG'A,shida nn mbona unatuaibisha sisi...
  7. N

    PreGE2025 John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA

    Sasa chama gan kitampokea mtu kama mrema,
  8. N

    PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

    Sasa hapo kanisan utahubiri kondoo au nn,maana hao unawahubiria ndio wanaumizwa,wengine wamekufa, Kuna elimu nyingine sio lazima ufundishwe,mnatupa wakati muhimu xna kuwaelimisha tuwaelimishe watoto wetu na ww pia nikuelimishe?😁😁😁😁
  9. N

    PreGE2025 John Mrema: Kama leo huna dola unawaza kufukuza watu wenye mawazo mbadala ndani ya chama, siku ukipewa dola itakuwaje?

    Jaman naombeni msaada,HIV ukiwa ndani ya chama,alafu chama kikapata uongozi mpya, alafu ww ukaachwa,ww uliyeachwa hamnakaz zingine za kufanya,maana mm sikujua kuwa CHADEMA kilikuwa na msemaji, ila Sasa ndio najua, ukiachwa achika,fanya kaz zingine,Kuna kilimo,kuokota makopo nk zote hizo ni kaz,
  10. N

    Utaratibu wa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu, 24.04.2025

    Mm nitaenda kama kawaida,Cha msingi mtu asinichokoze maana nimejindaa,economically,socially,politically,
Back
Top Bottom