Recent content by naonja

  1. naonja

    JamiiForums Tanzania Ni Upi mtazamo wa KANISA KATOLIKI katika Jambo hili la Ushoga na Ndoa za Jinsia Moja

    Mnapenda kujihesabia haki nyie viumbe .
  2. naonja

    JamiiForums Tanzania Nimebadili dini lakini mpenzi wangu hajui, nimeamua nimuache

    Wewe dada hujawahi kuwa mkristu usidanganye watu wakristu sio wapuuzi hivyo.
  3. naonja

    JamiiForums Tanzania Ananidanganya ili anioe

    Mimi Nina wasiwasi huyo ni mume wa mtu kakimbia familia yake kaanza kuishi upya ndomana hata kitanda hana .anakudanganya huyo
  4. naonja

    JamiiForums Tanzania Wanawake wabaya/sura za wastani hawakatai

    Wajadili Chakushangaza wanawake wenyewe hawana muda wakuwajadili wao
  5. naonja

    JamiiForums Tanzania Wanawake wabaya/sura za wastani hawakatai

    Yani humu kilasiku ni mada za kuwajadili wanawake tu.
  6. naonja

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kuoa mke mmoja inabidi ibadilishwe kutokana na hali halisi

    Tatizo mnashindwa kuelewa nyie wavulana wanawake wanaonekana wengi kwasababu wanaume wanakufa halaka kuliko wanawake,alafu chakushangaza nyie wavulana ndo mnalalamika wanawake wengi wakati wanawake wenyewe hawalalamiki sijui tuwaelewe vvip.
  7. naonja

    JamiiForums Tanzania Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo

    Usipomuelewa mange utamuona mtu wa ajabu sana.
  8. naonja

    JamiiForums Tanzania Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo

    Le mbebeziiiiii kwa mange atajuta
  9. naonja

    JamiiForums Tanzania Siri 5 Mauaji Msikitini

    Hahaaaa
  10. naonja

    JamiiForums Tanzania Raymond - Natafuta Kiki (WCB new song)

    Safii sana dogo anajuaa
  11. naonja

    JamiiForums Tanzania Siri 5 Mauaji Msikitini

    Ya Mkuu hawa watu nishida wanaweka mahaba ya dini mbele hata kwa mambo ya maana.
  12. naonja

    JamiiForums Tanzania Siri 5 Mauaji Msikitini

    Ndio kwani wewe unaonaje?
  13. naonja

    JamiiForums Tanzania Siri 5 Mauaji Msikitini

    Hawa wenzetu hawataki kuambiwa ukweli mafundisho yao yamejaa chuki tu, na mtachinjana sana tu mpaka mtakapojitambua.
Back
Top Bottom