Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,731
Kama elimu yake ni kuanzia level ya bachelor, kubali akuoe. Huo ni 'mgodi unaotembea'. Kama elimu yake ni ya kuunga unga kama kina Jessie, mmh, hapo sikushauri...
Katika ndoa usiruhusu aibu na uoga ikutawale. Ukikubali na kuamini kwa Dhati utafanikiwa. Kama Jamaa anamanisha na wew ukakubali kwa moyo wa dhati nakushauri uolewe hakuna Sababu ya kuofia marafiki.Ahsanteni wote nitaolewa nitamvumilia tu,ila naogopa rafiki zangu wakijua hata hatuna kitanda si watanicheka jamani
Miaka 31 hana kitanda??? Jiulize kama ameshindwa miaka hiyo yote kutafuta hela ya kununua kitanda akikuoa si ndo itakuwa hatari? Ninavyofahamu kuna majukumu ya hapa na pale yataongezeka na hata hicho kitanda sijui kama atanunua.Shikamoo wakubwa,Mimi ni binti mkubwa kiasi nimemaliza form six mwaka huu kuna huyu kaka jamani yeye ana miaka 31yaani amengangania anioe sasa Mimi nashindwa tutaishije nilishafika kwake hats kitanda hana analala chini bado anatafuta Kazi ananiambia nikubali tufanye harusi zawadi tutakazopata tutaanzia maisha halafu akipata Kazi atanisomesha yeye chuo.nishauri mlioolewa na nyie mlianza kulala chini kama Mimi.
yani utazeeka ukiwa na miaka miwili katika ndoa(just kidding).Shirima acha upotoshaji wengine wakiwa wanakulana hawagusi kitandaSasa kama hana kitanda si atakuvunja kiuno wakati mnakulana!
Ndoa bado kabisa mdogo wangu. Nenda chuo huku yeye ajipange, wewe hauwez kumsaidia kujipanga, utamsaidia kutumia.
Pole binti na Hongera pia..
1. Sikiliza moyo wako
2. Unaweza kusoma chuo hata kama upo ndoani
3. Mafanikio katika maisha hayana wakati, yanaweza tokea mwanzoni, katikati au mwishoni mwa maisha.
Uko na umri gan???Ahsanteni wote nitaolewa nitamvumilia tu,ila naogopa rafiki zangu wakijua hata hatuna kitanda si watanicheka jamani
Usipende kufanya kitu kwa kujiuliza watu watanionaje/watanichekaAhsanteni wote nitaolewa nitamvumilia tu,ila naogopa rafiki zangu wakijua hata hatuna kitanda si watanicheka jamani