Jamani mtupumzishe. Tafteni Pesa Kwanza maana rich men don't complain but these small boys who call themselves hustlers. Kila siku thread mpya kuhusu wanawake
Women are like swimming [emoji474] pool. Usiulize nani aliogelea kabla yako, nani ataogelea baada yako, nani anaogelea nawewe. Just enjoy swimming [emoji474] my friend
True wanaume ni wachache lakini mbona na nyie mnatafta wakati wanawake ni wengi.
Mtu mpaka amefikia hatua ya kutafta online lazima apewe positive reply. Na sio kumkatisha tama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata sisi tuna generator. TANESCO wakikata umeme hakuna haja ya kuka gizani i
nawasha zangu generator imradi iwe na mafta
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.