Hatimaye kaanza kurudi kwa taratibu

Hatimaye kaanza kurudi kwa taratibu

Unaomba ushauri maana yake binafsi huwezi kuwa na maamuzi... Je unafikiri usiyeumizwa na kujua maumivu ya penzi lako atakua na ushauri wa kukufaa? Wengi wakisema msamehee utakua tayari kusamehe?... NAOMBA UMSAMEHE ARUDI TENA AFURAHIE MATUNDA YA BIASHARA YAKO, UKIFIRISIKA UMUACHE KABISAAAA....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hapo ulipo umesharudiana nae, anatambua fika kuwa unampenda kupita kiasi, na kwa maelezo yako hapo unatafuta tu kisababu kidogo cha kujishikiza utakapokuwa umerudi.

Ingekuwa ulishaamua kuachana nae ai huna mpango nae usingejibu meseji zake wala kuwela huu uzi hapa.

Mimi nakushauri uendelee nae huku ukijua anakuona wewe boya tu.
Huu ni ukweli ambao ataupinga lakini moyoni ni kweli mawasiliano ya nini hali ya kuwa waliachana.
 
Mleta mada naona unaleta story za sitaki nataka,kua muamuzi na maisha yako,hiyo ni too personal,hapa JF utapata majibu/ushauri wa kila aina but at the end muamuzi ni wewe,

Huyo aliyekua mpenzi wako hata ukirudiana nae,tambua kua siku ukiyumba atakukimbia tu,au siku akipata mtu mwingine mwenye hela kukuzidi wewe lazima akutose,tupa kule huyo hakufai,huyo haaminiki hata japo kumpa tu uchafu akautupe jalalani.
 
Mpaka hapo ulipo umesharudiana nae, anatambua fika kuwa unampenda kupita kiasi, na kwa maelezo yako hapo unatafuta tu kisababu kidogo cha kujishikiza utakapokuwa umerudi.

Ingekuwa ulishaamua kuachana nae ai huna mpango nae usingejibu meseji zake wala kuwela huu uzi hapa.

Mimi nakushauri uendelee nae huku ukijua anakuona wewe boya tu.
Wewe ni bonge la counsellor

.
 
Mwanamke wako ni mjinga sana yaani kisa chumba kimeonyeshwa mtandaoni umesifiwa ndiyo anataka kurudi?

Hamna kitu hapo mzee, akiona room nyingine kali anakuhama.

Pia siamini kama rafiki yako anaweza kupiga picha chumba chako na kukusifia..... Kama NI KWELI kafanya hivyo huyo siyo rafiki pia, tupa kule.

Hata mm nimewaza sana mtu unaendaje kupiga picha kwa mtu halafu unapost mtandaoni unamsifia..duniani kweli kuna mambo.
 
Nakumbuka niliachana nae mwaka jana......hii ilikuwa ni baada ya yeye kuanza dharau na kiburi(yote haya n kwakuwa alipata mtu alomzuzua na kunisahau) na pia n kwakuwa sikuwa na hela wala kazi(vyuma vimekaza...kazi hamna na ndo kwanza nimemaliza chuo)

Sikuona shida maana mimi kufanya maamuzi magum sijaanzia kwake....japo nilimpenda saaana.....nlijitoa sana kw aajili yake....kila nilipoenda sehem ilikuw lazima nirudi na zawad yake.....ikabidi niachie ngazi na kuachana nae

Baada ya kuachana nae nlielekeza juhudi katika kutafuta maisha...na nilimuomba sana Mungu anipe pesa.....japo niliachana nae ila kuna kpindi nilimtafta nkamuambia jinsi nimpendavyo jibu alonipa ni "asante....kuumia ni uamuzi"

Hapo ndipo aliponitia hasira zaidi.....nkakazana saana kwenye biashara....nilifanya biashara bila kupumzika....sikuwa na jpil...mda wote n kazi

Namshukuru Mungu now biashara imesimama.....nmeongeza bidhaa kibao kwenye biashara....plus pia nmechukua rum kabsaa na mazaga kbao rum

Sasa kuna siku rafiki yangu alipiga pcha rum yangu akapost mtandaoni na kunipa hongera...!!baada ya hapo ndo usumbufu umeanza

Yule girl ameanza kutuma text....hua namjibu then nampotezea....but atarudia tena....nami namjib hlf napotezea.....!but atatuma tena text...!!

Sasa je huyu mtu nmfanye nn???...maana kwakweli sitaki kuonekana boya...!!kamwe usiruhusu wakukute pale walipokuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchuzi wa mbwa haunywewi ukiwa umepoa, tembeza kibati ndugu na kazi zako, SOMETIMES IS BETTER TO BE IN LOVE WITH THE WOMAN YOU WERE BROKE, wakati uko ngangangaaa yeye akawasha mataa na kukuacha ktk foleni, sasa kaona taa imeanza kuwaka ya njano anajua KIJANI HIYOOOOOO, move on mzee baba achana na mawimbi yasiyo na faida, ila kama wewe kichwa maji ukasema ngoja ujaze pipa yamepungua rudiana nae. BE CAREFUL ON WHAT YOU WISH TO DO
 
Mpaka hapo ulipo umesharudiana nae, anatambua fika kuwa unampenda kupita kiasi, na kwa maelezo yako hapo unatafuta tu kisababu kidogo cha kujishikiza utakapokuwa umerudi.

Ingekuwa ulishaamua kuachana nae ai huna mpango nae usingejibu meseji zake wala kuwela huu uzi hapa.

Mimi nakushauri uendelee nae huku ukijua anakuona wewe boya tu.
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndio anakufaa oa kabsaaa maana anapenda uwe na mafanikio sio kukakaa kizembe
 
Mpotezee kama alivyokuchukulia powa.
Wakati unashida alikukimbia.. leo umepata mafanikio ndio anarudi.
Mfukuzie mbali kabisaaaa.

Tena mwambie ile ile kauliyake. "Asante.. kuumia ni kuchagua"

Madem wa hiv ni wa pumbav sana.. huyo yuko after money.. anafuata mali baada ya kuona umepanda ngazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka ushauri wako utakuwa ni bora zaidi kuliko jumbe zote zitazotumwa humu.

Big up broo kwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom