Recent content by nanix

  1. N

    Kundi la Islamic State lachapisha vitisho dhidi ya mechi za Klabu bingwa Ulaya leo

    Mbwembwe tu ISIS wenyewe wanapenda soka..
  2. N

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Ukute na mc wakati wa ndoa alikuwa gara b... Na mbwembwe nyingi, amapiano za kutosha.. cku hizi ndoa ni fashion tu na kuigana.
  3. N

    Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Mtoa mada umemaliza chuo 2009 na una miaka 30, mimi nimemaliza 2016 na nina miaka 31. Sijawahi rudia darasa hata moja umeniacha miaka 7 ya shule. Au ulianza darasa la kwanza ukiwa unatambaa...
  4. N

    Naombeni msaada kuufahamu hiki kiitwacho Bitcoin?

    Bitcoin haichezwi. Bali ni sarafu ya kidigitali. Hivi sasa thamani ya bitcoin moja ni usd 62000, hivyo basi ukisema ununue bitcoin sasa utakuwa umechelewa sana... Bitcoin inanunuliwa kupitia kwenye sites/ apps kama vile Binance, na wallets nyingine ambazo unaweza kuuza na kununua bitcoin...
  5. N

    Kwanini bei ya mafuta iko juu ingali bei ya dunia ni sawa na ya 2019

    I think ni kutokana na thamani ya dollar vs Tsh.. sasa hv dollar inarange 2500, wakati 2019 ilikuwa kwenye 2300...
  6. N

    Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

    Kuna kitu kinaitwa nyakati za mwisho na wakati wa mwisho... 1.Nyakati za mwisho tulizianza baada ya messiah kufa na kufufuka takribani miaka 2000 sasa haya ndio matukio yanayozungumziwa mathayo 24, ila yanaongelewa kama ni kuanza kwa uchungu ( beginning of birth pains) 2. Wakati wa mwisho: hii...
  7. N

    Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

    Siku ile haiwezi kuja mpaka mpinga kristo amefunuliwa, kuhusiana na rapture (unyakuo) kuna nadharia mbalimbali kama 1. Pre tribulation rapture- unyakuo kabla ya dhiki kuu, kabla ya ujio wa mpinga kristo na chapa ya mnyama. Hii ndo anayozungumzia jamaa. 2. Post tribulation rapture- hii ndo...
  8. N

    Kijana unayejitambua kama una 1.5M fanya hii kitu utakuja kunishukuru

    Nimetembea maeneo mengi ni sehemu chache sana nimeona mahindi ambayo yamestawi vizuri. Watu wengi wanalima mahindi na hawapati chochote... Hiyo investment ni ndogo sana.... Maybe ungetoa mchanganuo wote wa gharama zote... Na kuzingatia huyu kijana atakuwa hafanyi kazi yoyote kwa hiyo miezi...
  9. N

    Kijana unayejitambua kama una 1.5M fanya hii kitu utakuja kunishukuru

    Good idea but for to be realistic 1.5M kwenda kujichimbia mkoa ambao si mwenyeji kwa miezi mitano ni ndogo sana. Hapo hizo heka tatu kijana ambaye kazaliwa mjini sidhani kama ataweza kuzilima mwenyewe, miezi hiyo mitano atakuwa anakula nn? So kumsaidia kijana huyu ni bora kupiga hesabu nzima...
  10. N

    Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

    Hello wanajamvi Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi mkoa x kikazi.. nimekuwa na mahusiano na mwanamke kwa muda wa miaka 5 tumekuwa tukiishi pamoja, mwaka jana nilikwenda kwao na kutoa mahari. Mwezi uliopita niliomba likizo moja ya vitu tulivyotarajia kuvifanya kipindi hicho cha likizo ni...
  11. N

    Nahitaji kuchukua mkopo wa miaka minne niwekeze kwenye cryptocurrency

    Cryptocurrency naichukulia kama investment, na infact over the years imezidi kujiestablish vizuri, na tunapoelekea kwenye ulimwengu huu wa kitechnolojia tutakwenda kuadapt tu matumizi ya crypto sababu zimetengenezwa kusolve challenges ambazo normal currencies zimeshindwa kusolve. Tukubali...
  12. N

    Nahitaji kuchukua mkopo wa miaka minne niwekeze kwenye cryptocurrency

    Invest what you can afford to loose.. dont be selfish, usichukue mkopo kwa ajili ya kuinvest kwenye crypto instead weka percent fulani ya kipato chako lets say 5 -10% or kiasi ambacho hakitaathiri maisha yako endapo market itacrash kama ilivyokuwa 2021... Binafsi nahold pia solana nilibuy ikiwa...
Back
Top Bottom