Kwanini bei ya mafuta iko juu ingali bei ya dunia ni sawa na ya 2019

Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
2,720
3,456
Kuna kitu hakiko sawa hapa, inabidi kitu kifanyike, serikali isipoingilia kati uchumi utaharibika

Ni trent hapa tanzania kitu kikipanda bei ni shida sana kushuka bei, kwann
 
I think ni kutokana na thamani ya dollar vs Tsh.. sasa hv dollar inarange 2500, wakati 2019 ilikuwa kwenye 2300...
 
Kuna kitu hakiko sawa hapa, inabidi kitu kifanyike, serikali isipoingilia kati uchumi utaharibika

Ni trent hapa tanzania kitu kikipanda bei ni shida sana kushuka bei, kwann
Nchi ikiendeshwa na viongozi waongo huwa bei hazishuki.
 
Back
Top Bottom