Jamaa wanalipa vizuri nasikia wanalipa 2m kwa degree holderKwa sasa nafanya kazi sehemu nafikiria kuhama kabla ya kuhama naombeni mnishauri jamaa mishahara yao imekaaje kwa hawa jamaa
Hapo unapohama niunganisheKwa sasa nafanya kazi sehemu nafikiria kuhama kabla ya kuhama naombeni mnishauri jamaa mishahara yao imekaaje kwa hawa jamaa
Kabla ya makato ( basic salary)Iyo take home au kabla ya makato?
Mana sasa iyo dah current after makato napokea 1.9 asee nilikuwa najua huko pako vizuri
Unafanya kazi wapiMana sasa iyo dah current after makato napokea 1.9 asee nilikuwa najua huko pako vizuri
Kwa sasa nafanya kazi sehemu nafikiria kuhama kabla ya kuhama naombeni mnishauri jamaa mishahara yao imekaaje kwa hawa jamaa