wakuu ,,Habarini .naombeni mnijuze kuhusiana na hawa TCU kuna mdogo angu alifanikiwa kupita katika round ya kwanza na akaambiwa asubiri confimation ya chuo lakini vyuo vyote alivyo jaza hajachaguliwa,,hapo inakuwaje wakuu
iyo odinary diploma in clinical oficer inachukua mda.gani mkuu na ni shingap na ni vyuo gani vya serikar unaweza pata PCB kapat EEE mwak huu anaomba msaada
ndugu kipindi hiki ni kigumu ili uende muhas wanataka minimum 8pts yani BB kwa udsm hiyo kiti imefutwa....pole cn ila vyuo vya private wanataka 4.5 but kwa udom pia imefutwa...
kweli hazikutoshi uliko pita E ilikuwa inaanza na ngapi??na wote walikuwa wanaenda chuo kikuu..halafu wamesema wahitumu wa mwaka jana ukiwa na C ndo unaenda chuo kwqni C & E ya sasa kunautofauti,?? zote zinaanza 40--49 ..acha ufala jiongeze ww .
kwanza la saba ww unaonekan..ungekuw umepita...
c wanajua vigezo walivyo weka mi vya kukandamiza watu kwenda chuo kikuu sasa ni razima wafunge vyuo vya private vyuo vyao vipate watun..c kwel kwamba st.joseph imezidiwa ubora na vyuo vya serikar kam udom
wakifanikiwa kurudisha basi wawapokonye wale wenye vyeti vya degree walivyi pata enzi za nyerere ambao walienda chuo kikuu na pass mbili yani EE maana E ya nyerere ilikuwa 35 -44 wakati E ya 2016 ni 40 -49 halafu haendi chuo kikuu...hii raana na machungu ya watoto wa maskini hasa wale w...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.