Natafuta chuo kinachotoa kozi ya animation

Nani James

Member
May 25, 2016
82
27
Naombeni kuliza jaman kwa anayejua chuo kinacho toa kozi ya animation; pamoja na gharama bila kusahau mda wa kujifunza.ASANTENI
 
vp vigezo ili usome na tofauti na kujiajiri wap inaweza kuajiriwa??
Kwa nini ufikirie kuajiriwa mkuu! Umeomba kujuzwa Chuo kinachotoa Course ya Animation, it means utakua ulishajua ama kujiajiri ama umejua soko la ajira, unatuonea kama utataka kujua masoko ya ajira kwa Course ulochagua mwenyewe, kama bado unafikilia kuajiriwa, nakushauri kachukue Graphics design, 3D animation, ukiweza hata video editing, utakua unatisha, utaajiriwa kwenye Tv's station, Video production house n.k....pia unaweza kujiajiri.
 
asante mkuu..izo kozi ulizo zitaja zinafundishwa kama muunganiko wa kozi moja au unasoma tofauti tofauti mkuu
 
Chuo bora ni YouTube. Hao watakao kufundisha huko UDOM au UDSM pia wamesomea YouTube. so...mi mwenyewe nilisomea Youtube na Google, saivi nalipwa 2 Milioni. im a straght guy from form IV...so...kuhusu ajira, naomba utakapo hitimu hiyo kozi usitume maombi ya kazi kwa title k.v.Animator, 2D & 3D Animator, Motion Graphics Designer au Graphic Designer. (Actually miaka 2 iliyopita title ya Graphic Designer ndo ilikuwa habari ya mjini). saivi tunajiita: Digital Marketing Officer, Social Media Manager, Video Producer au Visual Effects Artist.
 
Ni Course zenye uhusiano, Vyuo vingi vya nje unajifunza zote ama uanze 3D Animation then Graphics au vise versa....kwa bongo sijui, Kuna Vector Animation, 2D, 3D n.k....hizi Course ni deal kwa mtu unayependa Kuchora, ama unapenda video production n.k, ni deal ndani na nje ya nchi!
 
asante mkuu
 
Pale DIT Kuna course inaitwa multimedia and film technology nadhani imeunganisha vyote ila ni ngazi ya diploma
Jaribu kufatilia
 
Back
Top Bottom