HESLB iwarudishie pesa (30,000/=) ambao wametoka Diploma na hawana 3.5 GPA

donMramba

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
250
42
bodi ya mikopo hivi inakuwaje kwa mtu ambaye amesha apply mkopo kabla ya kuona vigezo vipya vya TCU kwamba lazima uwe na upper second (kuanzia GPA ya 3.5) kwa wale waliomaliza DIPLOMA
kwa mtazamo wangu ni vizuri wangewarudishia tuu pesa zao kwa maana hilo litakuwa ni jipu la miaka ijayo...
 
Kat ya tcu na heslb nan alitakiwa kutoa taarfa mapema
 
Utaratibu wa TCU na HESLB kuwafanya wanafunzi watume maombi kabla ya matokeo kutolewa na NECTA/NACTE ni wizi na utapeli kama wizi na utapeli mwingine. Iko wazi kabisa kuwa wanafunzi wote hawawezi faulu na kukidhi vigezo vya kuendelea na masomo ya shahada lakini wao wamekuja na huu wizi wa mwendokasi ili kuwapora mapesa masikini wa nchi hii.
 
nina wazo ndugu zangu
tafuten kaz ama milad mfanye alafu ikifika mwaka 2019/2020 mtakumbukwa ndipo mtafanya application NI WAZO TU
 
Hivi unajuwa shuhuri yake kupata hiyo pesa ambayo imeingia katika system ya serikali, watakesha mwaka mzima kusubiria pesa kurejeshwa watajaza form mpaka kelo kisa kusibitisha muamala kama kaufanya.
 
TaSisi ya serikali kurudisha ela ni ngumu sahau tu Fanya kama umetoa sadaka
 
Nilisha wambia kwamba wasiporudisha hizo pesa dawa yao ni kwenda mahakamani tu,maana pesa ilitangulia kabla ya hivyo vigezo vinavyo minya watu kupata elimu ya juu. Wakati wengine wanataka angalau kila raia apate degree sisi kwa sisi tunawekeana ukuta wa berlini kupata hiyo elimu.Kwa mwendo huu ninaweza kukubaliana na yule jamaa aliyesema kwamba Tz imerudi nyuma miaka 50 iliyopita.Mungu ibariki Tz
 
Jaman jarbun kuwa waelewa huo mkwanja hamrudiishiw
Sema sisiem mbele kwa mbele
 
wakifanikiwa kurudisha basi wawapokonye wale wenye vyeti vya degree walivyi pata enzi za nyerere ambao walienda chuo kikuu na pass mbili yani EE maana E ya nyerere ilikuwa 35 -44 wakati E ya 2016 ni 40 -49 halafu haendi chuo kikuu...hii raana na machungu ya watoto wa maskini hasa wale w PCB..PCM..PGM..CBG razima ije iwapate kwa njia yoyote ile...maana vyeti vyenu vingi vina SS mnazan hatujui ..
 
Back
Top Bottom