Unafiki wa TCU

Unafiki wa TCU

Hahaha! Umenifurahisha ndugu. Kumbuka kuna fursa ya kurudia mtihani ili kupata vigezo vinavyohitajika. Si rahisi kuweka vigezo ambavyo vitakidhi matakwa ya kila mmoja wetu. Bado pia kuna fursa ya kuanzia diploma, na baadaye ukatumia ufaulu wa diploma kujiunga chuo kikuu. Kwa kujielimisha zaidi, soma falsafa ya Plato na Socrates kuhusu elimu.
Samahani nime copy na ku paste tu, hivyo mpangilio si mzuri.

"Sound education system: selectively prepares the younger generation for differentiated future roles according to their abilities. enhances the general thinking abilities of people in a society. promotes individual happiness for the development of a just government. In a society, people’s intellectual abilities are naturally divided into three groups; golden boys, silver boys and iron boys.;

So, the education system should sift them for providing education that matches their abilities. Golden boys (the bright ones): their education should fit positions of philosopher kings, rulers, policy makers and planners. Responsible in making the society to be calm and prosperous. Silver boys, the less bright group but physically fit: would be trained to be defenders of people as well as supervisors for ensuring that the policies made are followed.

The iron boys, the dull ones were to be prepared for intellectually less demanding jobs; farmers, carpentry or iron smiths. For Plato, education is a practice of discovering and confronting the challenges of everyday living in the areas and positions in which each one would be best trained".
Huwa mimi sikubaliani na hii falsafa kwa sababu; laiti Plato angekuwepo kipindi cha Sir Isaac Newton angeikana falsafa yake. Newton alionekana ana uwezo mdogo sana darasani. Kwa mujibu wa Plato angeitwa Iron boy. Lakini tazama mchango wa Newton katika dunia hii. Hivyo kuna kitu ambacho si cha kawaida katika akili za binadamu ambacho hakiwezi tu kuwa determined na grades za darasani. Je, hao wanaofanya vizuri darasani ndiyo wanaotoa mchango mkubwa hapa duniani? What's about Thomas Edson, ambaye aliondolewa shuleni kwa ajili ya uzito wake wa akili? Hata kusoma na kuandika kafundishwa na mama yake nyumbani. Lakini ndiye mtu aliyeifanya dunia kupata mwanga wa umeme kwa ugunduzi wake wa bulb.
 
Hoja yako ina ukweli fulani, kwa kuwa hata mtaalam wa Microsoft, nadhani alikimbia shule. Lakini kwa kuanzia lazima tuwe na "standards" ingawa haziondoi uwezekano wa kuwa na "extreme cases" kama unazosemea hapa.
 
Mimi naona pamoja na kuwepo standards, tusiweke viwango vinavyolenga kupunguza watu kupata elimu. Ukitazama vizuri hivi viwango vilivyowekwa, kuna zaidi ya viwango. Hivi kweli mtu mwenye Upper second ya diploma ndiye anayefaa tu kusoma degree! Hiyo GPA ya 3.5 wakati mwingine ndiyo anayoipata third best performer wa DIT. Ukiangalia hawa wa kidato cha sita, mtaala wa masomo ya sayansi ulivyo kwa miaka miwili siyo rafiki kabisa. Leo aliye hata na Principal pass 3 za EEE hatakiwi kwenda chuo kikuu. E ambayo ni 40-49. Nashawishika kusema hapa kuna zaidi ya viwango.
 
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.
sasa wewe ndugu yangu shule yenyewe hiyo ni HKL tupu alafu unajidai mbele za watu et unavigezo...si ukae kimya tu
 
Umetumwa eeeh? Aliyekutuma mwambie aje mwenyewe.
 
Yes Rubii ilo linawezekana ila it depends on your life kwa mfano unasoma shule ya mackin una wazazi kamili ata kama mackini ila you live happy life au ata kama si wazazi wako ila unaishi maisha ya furaha hata kama mackini lakini iwe ulkuwa na wazazi wako mama kijana baba mzee anakutegemea ww umsaidie kisha mama ndo anakusomesha unaamka cku moja asubuhi unaambiwa mama kafa bila ugonjwa then baba hali yake ya kuktegemea ww kisha mackini unaishi na mtu wako wa karibu anakufanyia mambo ya ajabu huku unaaoma nauli ya skuli y kesho unaiwaza Darasani huna mzaz wa kukupa wachilia njaa itoe ukirud ho me kazi za ndan zinakusubir ucpofanya utajuta unaamshwa asubuhi upike ndo uende skuli huku nauli ya skuli unaiuangaikia mwenyewe unapoteza mda kumfata mtu akugaie ukifika hana unarudi ushapoteza mda skuli huendi whats kind of life utapac i la kwa shida nothing is important for success in life than good health and happy
hii huwa ni bahati mbaya huwa hatujadiri kifo maana hata mtoto wa tajiri huweza kuporomoka kimaisha pale atapofiwa na wazazi wake, na umasikini ndio uliowatoa watanzania wengi kwa kuwa na uchungu na kuuchukia umasikini! ukiuchukia umaskini hata usipokua na elimu ya kidato cha nne tu utapambana wanao waje waipate kwa Gharama yoyote ya jasho lako, tatizo kubwa lililopo ni kugeuzwa geuzwa kwa elimu yetu akija huyu anasema DISTINCTION akija yule anasema No Division basi ni Tafrani hata huelewi, tungekua na mfumo mmoja usiochezewa hata aje nani hakika Tanzania tungeheshimiana, maana hata hawa watoto wetu wasingelikua wazembe MTU mwenye nia hawezi kuogopa viwango vilivyowekwa akavifahamu anatakiwa avivuke! TUACHE MATAMKO KWENYE ELIMU TU SET STANDARDS AMBAZO HAZITACHEZEWA HATA KWA MIAKA 20
 
Hebu fikiria mkuu, mimi nimfanya biashara nataka nipate elimu ya business administration au marketing, huoni kama nitafika mahali nitakabwa na vigezo vilivyowekwa vya juu kwa ajili ya kuwapata wale wanaotafutwa kuwa waajiriwa wazuri wenye nadharia nyingi kichwani?
kama huna sifa Mbele ya wataaramu wala usijipe nafasi ya kujisifia kichwan mwako binafsi! kumbuka Mali bila Daftari hupotea bila habari, so we kaza utimize vigezo wala usilete malalamishi hapa ooh Mara utajiajiri na matakataka yako kibao kama Huna vigezo baki huko huko chini ukajiajiri kwani kina Mangi wote wanaelimu ya biashara? nendeni mkaungane huko badala ya kutujazia population kubwa ya graduate isiyo na sifa pambanuzi
 
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.
mnafiki mkubwa wewe,itaje hiyo shule ambao wote mnasifa za kwenda chuo.forum hii haikuhusuuu tokaaaaaaaaaaaaa
 
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.
haya ndo madhara ya elimu ya kata,unatapika maharage kwenye forum za watu .angalia taarifa za necta kuhusu ufaulu wa shule za kata ,sio unakurupuka
 
Sasa unaharibu "thread" kwa hoja hii ya malipo. Watumishi wote serikalini hawawezi kuwa na "degree". Kuna kada ambazo sifa zake ni cheti na diploma. Labda tuishauri serikali irekebishe miundo ya utumishi na si kwamba suluhisho ni kwa waajiriwa wote kuwa na "degree". Hata hivyo ukipitia ngazi ya cheti na diploma, bado unakuwa na fursa ya kusoma chuo kikuu bila shida.
unamwako kidogo,yaani ni hivi mtu kusoma diploma isiwe kwa sababu kafeli kosoma degree,ila aamue mwenyewe kuisoma diploma,na serikali irekebishe muundo wa utumishi
 
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.
wewe utakuwa ulifeli shule hata kiswahili kinakushinda ona ' dhao=zao'
 
Unafikia wa TCU niliuona kwenye sakata la Kampala int. University.. Watu wamepangiwa pale wamesoma weeeeee mwisho wa siku chuo hakijasajiliwa.. Ilikuje kumpangia mtu chuo kisichosajiliwa...?
 
kama huna sifa Mbele ya wataaramu wala usijipe nafasi ya kujisifia kichwan mwako binafsi! kumbuka Mali bila Daftari hupotea bila habari, so we kaza utimize vigezo wala usilete malalamishi hapa ooh Mara utajiajiri na matakataka yako kibao kama Huna vigezo baki huko huko chini ukajiajiri kwani kina Mangi wote wanaelimu ya biashara? nendeni mkaungane huko badala ya kutujazia population kubwa ya graduate isiyo na sifa pambanuzi
Huko chini ni wapi? Sidhani kama hata umeelewa wala sitarajii kunielewa. Wewe unaishi katika hisia. Vipi unaposema wanakujazia population, unamaanisha population ya kutafuta ajira? Aisee sasa wewe msomi wa Tanzania umeshindwa hata kucontrol hisia? You are very emotional. Kwa spidi uliyokuja nayo nimeshindwa kukutofautisha na hao wasiokuwa na vigezo.
 
haya ndo madhara ya elimu ya kata,unatapika maharage kwenye forum za watu .angalia taarifa za necta kuhusu ufaulu wa shule za kata ,sio unakurupuka
Mchezo hauitaj hasira.
Kama vigezo hauna hauna tu acha kuishawish government ikuonee huruma
 
kama huna sifa Mbele ya wataaramu wala usijipe nafasi ya kujisifia kichwan mwako binafsi! kumbuka Mali bila Daftari hupotea bila habari, so we kaza utimize vigezo wala usilete malalamishi hapa ooh Mara utajiajiri na matakataka yako kibao kama Huna vigezo baki huko huko chini ukajiajiri kwani kina Mangi wote wanaelimu ya biashara? nendeni mkaungane huko badala ya kutujazia population kubwa ya graduate isiyo na sifa pambanuzi
I'm sorry, naomba kuuliza tofauti na ulivyosoma katika taaluma yako umesoma vitabu gani ambavyo angalau vimekupa broad knowledge? May you try reading psychological books? Will help you.
 
I'm sorry, naomba kuuliza tofauti na ulivyosoma katika taaluma yako umesoma vitabu gani ambavyo angalau vimekupa broad knowledge? May you try reading psychological books? Will help you.
Kama huna sifa ya kwenda chuo kikuu we kaa benchi mjomba, wala usijipenyezee hoja zako ambazo hakiza nafasi kwa sasa! Kama upo shule kaza msuli utilize vigezo na kama ni muhanga angalia alternative nyingine, na sio kuelekeza watu vya kusoma
 
Huko chini ni wapi? Sidhani kama hata umeelewa wala sitarajii kunielewa. Wewe unaishi katika hisia. Vipi unaposema wanakujazia population, unamaanisha population ya kutafuta ajira? Aisee sasa wewe msomi wa Tanzania umeshindwa hata kucontrol hisia? You are very emotional. Kwa spidi uliyokuja nayo nimeshindwa kukutofautisha na hao wasiokuwa na vigezo.
Ngoja nikwambie kijana mimi Nina ajira yangu tayari wala sina mpango wa kutafuta vigezo kama wewe! Cha kufanya fikiria namna nyingine itayokuwezesha kwenda chuo kikuu kama umejaza ma D D ukitarajia ule utelezi wa mkwele jua umekwisha mwaka huu wapo watu wanaokaba mpka penati MTU ambaye alikataa kubadiri matokeo ya mkwele kwa ticket ya kutanua goli mwaka ule wa 2013 kama njia ya kuwaokoa kina Shukuru na wenzie kwa kupitia watahiniwa wa 2012, nakushauri fikiria namna nyingine ya kupambana na si kupinga viwango msambamba vyenye kwenda na lengo La kuwaondoa vijana wavivu wa kusoma ambao tumeng'ang'ana kuwapa hadhi ya Kuwaita wanafunzi
 
Back
Top Bottom