Kwa ufaulu huu naweza kuapply kozi ya MD katika vyuo hivi?

Sam 1

Member
Jul 19, 2016
14
45
Habari zenu wanajamvi. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu (2016) na nimepata Div 1.9 kwa mchepuo wa PCB. Kwa ufaulu huu naweza apply vyuo kwa mpangilio ufuatao:
1. MUHAS
2. UDSM
Naombeni ushauri wenu maana ndoto zangu ni kusoma MD.
Pia minimum number ya ku apply vyuo ni vingapi?
 
Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
690
1,000
Habari zenu wanajamvi. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu (2016) na nimepata Div 1.9. Kwa ufaulu huu naweza apply vyuo kwa mpangilio ufuatao:
1. MUHAS
2. UDSM
Naombeni ushauri wenu maana ndoto zangu nu kusoma MUHAS.
Pia minimum number ya ku apply vyuo ni vingapi?

specify combination uliyosoma ili nijue cha kukushauri usije ukawa ni arts au biashara afu unataka uombe MD
 
Dec 30, 2015
182
250
Hapo hayo matokeo ukiyaconvert kwenye g.p.a una 3.0 hio mwaka jana wachache walienda udom esp wasichana na wengine wavulana wakakosa vyuo vya selikali md.....kwa ushauri anza kuapply UDOM
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,042
2,000
MD wanachukua CUHAS, KCMC (3.1m) na St Joseph (5.71m) minimum 5 points; AJUCO, Kampala MBBS (6.7m) na Kairuki minimum 4.5 points; UDSM (1.8m) minimum 7 points na MUHAS (1.8m) minimum 8 points. Kama ushindani ni mkubwa zinaweza kuwa juu zaidi. Grant au Mkopo 1.8m
 
Nani James

Member
May 25, 2016
90
95
Habari zenu wanajamvi. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu (2016) na nimepata Div 1.9 kwa mchepuo wa PCB. Kwa ufaulu huu naweza apply vyuo kwa mpangilio ufuatao:
1. MUHAS
2. UDSM
Naombeni ushauri wenu maana ndoto zangu ni kusoma MD.
Pia minimum number ya ku apply vyuo ni vingapi?
ndugu kipindi hiki ni kigumu ili uende muhas wanataka minimum 8pts yani BB kwa udsm hiyo kiti imefutwa....pole cn ila vyuo vya private wanataka 4.5 but kwa udom pia imefutwa...
 
Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
5,023

Unampa pole ya nini sasa?

Ina maana mwenye Div1.9 hana minimum ya point 8 kwenye masomo matatu?
 
Uncle Elroy

JF-Expert Member
May 22, 2016
968
1,000
Hapo hayo matokeo ukiyaconvert kwenye g.p.a una 3.0 hio mwaka jana wachache walienda udom esp wasichana na wengine wavulana wakakosa vyuo vya selikali md.....kwa ushauri anza kuapply UDOM
Hapo hayo matokeo ukiyaconvert kwenye g.p.a una 3.0 hio mwaka jana wachache walienda udom esp wasichana na wengine wavulana wakakosa vyuo vya selikali md.....kwa ushauri anza kuapply UDOM
Sio kweli,C ya mwaka huu ni B+ ya mwaka Jana,60-69 kwahiyo ana GPA ya 4.0
 
Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
5,023
2,000
Habari zenu wanajamvi. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu (2016) na nimepata Div 1.9 kwa mchepuo wa PCB. Kwa ufaulu huu naweza apply vyuo kwa mpangilio ufuatao:
1. MUHAS
2. UDSM
Naombeni ushauri wenu maana ndoto zangu ni kusoma MD.
Pia minimum number ya ku apply vyuo ni vingapi?

Hiyo Div1.9 ya PCB kama umepata CCC nafasi unayo though kipindi hiki competition ni kubwa kwa MD sababu vyuo vinne havichukui wanafunzi mwaka huu wa masomo
 
Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,651
2,000
ndugu kipindi hiki ni kigumu ili uende muhas wanataka minimum 8pts yani BB kwa udsm hiyo kiti imefutwa....pole cn ila vyuo vya private wanataka 4.5 but kwa udom pia imefutwa...

Acha urongo kijana

Points 8 za MUHAS ni from 3 subjects,kwa maana minimum ni CCD na sio BB zako.

UDSM hawajafuta kitu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom