c wanajua vigezo walivyo weka mi vya kukandamiza watu kwenda chuo kikuu sasa ni razima wafunge vyuo vya private vyuo vyao vipate watun..c kwel kwamba st.joseph imezidiwa ubora na vyuo vya serikar kam udomWaziri wa elimu Prof. Joyce Ndalichako amesema chuo cha st Joseph kimekua na mfulilizo wa matukio na mapungufu mengi hivyo hawawezi kupeleka wanafunzi. Mpaka chuo kihakikishe kinapunguza mapungufu yaliyopo.
Jana ndalichako wakati anaaddress tatizo la UDOM alizungumzia st Joseph n.a. akasema pale TCU kuna volume kama tano za matatizo ya at Joseph na ameagiza kifungwe kwanza na kipewe muda kukamilisha ndipo watapeleka wanafunziKilizuiliwa tangu mwezi 3.Lakini kwa sasa kipo vizuri,na course ambayo ilikuwa na matatizo ni Mechanical tu lakini wameleta mashine kibao za kutosha.
Hizo nisababu zake za kisiasa siwezi kukuteta chuo,sisi tuligoma mwezi wa tatu ili marekebisho yafanyike na kufikia sasa marekebisho yamemalizika.Labda kama ana sababu nyingine,na hizo hapo juu ni baadhi ya picha zikionyesha ufugaji wa mashine.Jana ndalichako wakati anaaddress tatizo la UDOM alizungumzia st Joseph n.a. akasema pale TCU kuna volume kama tano za matatizo ya at Joseph na ameagiza kifungwe kwanza na kipewe muda kukamilisha ndipo watapeleka wanafunzi
Nikweli mkuu,kama work shop now zipo kibao.Hapo ni GPA ya 3.5 na 4 points (DD) ndiyo inayowafanya Serikali Wafunge Vyuo.
Hapo ni GPA ya 3.5 na 4 points (DD) ndiyo inayowafanya Serikali Wafunge Vyuo.
Hapo ni GPA ya 3.5 na 4 points (DD) ndiyo inayowafanya Serikali Wafunge Vyuo.
Hapo ni GPA ya 3.5 na 4 points (DD) ndiyo inayowafanya Serikali Wafunge Vyuo.
hata wenyewe wadau waelimu waliopendekeza hivo vigezo hawakuingia na hio point4,Hapo ni GPA ya 3.5 na 4 points (DD) ndiyo inayowafanya Serikali Wafunge Vyuo.
Kuandika kwenyewe hujui halafu umepata akili ya kuona mapungufu ya Udom. St. Joseph bora kuliko Udom! Ukimaliza huo utafiti wako upitie Mirembe.c wanajua vigezo walivyo weka mi vya kukandamiza watu kwenda chuo kikuu sasa ni razima wafunge vyuo vya private vyuo vyao vipate watun..c kwel kwamba st.joseph imezidiwa ubora na vyuo vya serikar kam udom
Nop madam hapo tulikuwa bado tupo likizo ndio walikuwa wanajenga,mie nipo hapo napiga mechanical eng,kiukweli wamejitahidi sana.Na mashine hizo zote zimeshafungwa zipo tayali.Luhanyula naona unakipaisha chuo ukicheki utaona bado wanajenga wakamilishe
Wao walikuwa wanaingia na point 2 kwa masomo matatu! Halafu bila aibu wanataka wengine waingie na point 4 kwa masomo mawili!hata wenyewe wadau waelimu waliopendekeza hivo vigezo hawakuingia na hio point4,
hapo hakuna usawa kabisa wa hizo point, vitivo na vyuo vya sayansi vinakwenda kufungwa time will tell