Ukisikia joto hasira kwa hawa chichiemu ndo huku!! loh kundambanda sasa anasikika maana wanamtwara wanakuja kwa style yao Mungu tunusuru maana wananchi sasa hawataki karudi baba mmojo toka safari ya mbali ......!!!
Duu!! shost we mkareee mpaka mwisho yani waona raha kuwaliza wenzako kwa kuwaibia tunda lao! mmh kuwa makini wengine hawaingiliki utaganda ka sumaku hukose wa kukunasua mama hivyo vya mpito kama kweli wajiamini we mzuri tafuta wako shoga hao wanakuzingua wake zao ndo wanzuri mpaka wamewaweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.