"Hii sasa ni zaidi ya hatari"....Be careful

kwanini wewe ulimuacha ukaenda kwa doctor kuongea nae wewe mwenyewe ndio umuite? kwanini msingeenda wote?pale angaza mnapoenda kupima kila hatua mnakuwa wote.yawezekana ulimtisha kwa kuwahi kwa doctor bila yeye. jiamini na uaminishe kijana.
 
Me nahisi yeye ndio alikukimbia wewe baada ya kuona unatangulia kwa doc peke yako akajua lazima kutakua na uchakachuaji wa majibu
 
Siku hyo alidai anataman kuwa na mm kimapenz...., nikamuomba asbh yake tukapime ili wote tuwe na uhakika tufaidi penz letu kwa raha....

Usiku wake ulikuwaje....:A S clock:

Daaamn babu Dark City umeniharibu kusoma between the lines...!!!
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa yapata mida ya saa kumi na mbili natoka ofisin nimebeba bag langu la laptop....ofsn kwetu ni karibu na chuo fulan cha uhasibu nikawa natembea miguu kwan sijabahatika kupata usafiri....

Wakati natafakari nikifika nipike nn kwan bado niko "bachelor", njian nikakutana na binti mrembo sana tena sana akawa anatembea anaelekea maeneo ya chuo...

Bhana eeeh c unajua mtu ukiwa katika harakati za kutafuta mchumba unatupa huku na huku, nikaamua nimpe hi then nikaomba namba ili tuwe tunawasiliana....

Baada ya muda mawasiliano yalikuwa makubwa sana tena sana akawa anakuja hadi ofsn kwangu......

Kilichofanya nilete hii mada hapa ndan ni siku huyu binti alipokuja ndan kwangu.....

Ili ajionyeshe kuwa yeye ni salama i mean kashapima akaja na cheti cha angaza akiwa amekipiga picha kikiwa kwenye cm yake.....hilo suala linitia hofu kidogo kwan sikuamini kama ni kwel au danganya toto...

Siku hyo alidai anataman kuwa na mm kimapenz...., nashukuru nimepewa uwezo wa kuvumilia nilimkatalia nikamwambia nashukuru yy kapima bt hapaswi kuniamni mm nikamuomba asbh yake tukapime ili wote tuwe na uhakika tufaidi penz letu kwa raha....

Huwezi amin asbh nikachukua tax nikambeba ili tukapime, tulipofika sehemu husika nikaomba nikamuone doctor then nitamuita......eeeeeeeeeh niliporudi sikumkuta na simu yangu hakupokea tena na sijawah kumuona tena....

Vijana tuwen makini hii ni zaidi ya hatari kama watu wamefikia kuforge vyeti vya angaza...????

na wewe unamashaka ilikuwaje hadi uingie kwa dokta mwenyewe?ulimtia hofu ndo mana akatoka nduki mana kitendo cha wewe kuingia kwa dokta peke yako kilimpa jibu kuwa UNAENDA NUNUA MAJIBU akaona unataka kumuuzia mbuzi kwa gunia! by the way kama nia ilikuwa njema congratulation!!!

1
 
unaweza kupima mwenyewe sio lazima kuandamana kwa dr....nenda pharmacy nunua vya kupimia weka ndani ukipata kimwana mnapimana hadi mnaridhika kugegedana
 
Wagegedaji bwana!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pole lkn ni fundisho muache kuvamia wasichana hata kama unataka kuoa lol. Una bahati sana ingekula kwako sjui ungejutaje jamani, ama kweli sio kila king'aacho ni dhahabu vingine haviliki ni sumu.
 
unaweza kupima mwenyewe sio lazima kuandamana kwa dr....nenda pharmacy nunua vya kupimia weka ndani ukipata kimwana mnapimana hadi mnaridhika kugegedana

Ha ha ha mambo ya kujipima mwenyewe sio mazuri,, unaweza ukakataa majibu yako uliyojipima mwenyewe.. Na kipimo ukakivunjia mbali
 
Fundisho kwa mzabzab-kamanda wa kugegeda.

Kamanda mumuache sasa rafiki yangu mzabzab, wagegedaji humu ni wengi sana sema tu hawajioneshi wanajifaanya kondoo, pili mzabzab ni mkweli...ni ngumu kuoa au kumhakikishia ndoa kila bint unaemgegeda. Sema tu wanawake tunapenda tuongopewe kwamba tutaolewa bila kujua ndoa ni process haiwezi kuja kirahisi just kwa kutamkiwa
 
i couldnt have said it better myself...asante
 
Ilikuwa yapata mida ya saa kumi na mbili natoka ofisin nimebeba bag langu la laptop....ofsn kwetu ni karibu na chuo fulan cha uhasibu nikawa natembea miguu kwan sijabahatika kupata usafiri....

Wakati natafakari nikifika nipike nn kwan bado niko "bachelor", njian nikakutana na binti mrembo sana tena sana akawa anatembea anaelekea maeneo ya chuo...

Bhana eeeh c unajua mtu ukiwa katika harakati za kutafuta mchumba unatupa huku na huku, nikaamua nimpe hi then nikaomba namba ili tuwe tunawasiliana....

Baada ya muda mawasiliano yalikuwa makubwa sana tena sana akawa anakuja hadi ofsn kwangu......

Kilichofanya nilete hii mada hapa ndan ni siku huyu binti alipokuja ndan kwangu.....

Ili ajionyeshe kuwa yeye ni salama i mean kashapima akaja na cheti cha angaza akiwa amekipiga picha kikiwa kwenye cm yake.....hilo suala linitia hofu kidogo kwan sikuamini kama ni kwel au danganya toto...

Siku hyo alidai anataman kuwa na mm kimapenz...., nashukuru nimepewa uwezo wa kuvumilia nilimkatalia nikamwambia nashukuru yy kapima bt hapaswi kuniamni mm nikamuomba asbh yake tukapime ili wote tuwe na uhakika tufaidi penz letu kwa raha....

Huwezi amin asbh nikachukua tax nikambeba ili tukapime, tulipofika sehemu husika nikaomba nikamuone doctor then nitamuita......eeeeeeeeeh niliporudi sikumkuta na simu yangu hakupokea tena na sijawah kumuona tena....

Vijana tuwen makini hii ni zaidi ya hatari kama watu wamefikia kuforge vyeti vya angaza...????

ah huyo hawezi mpata tuu....wajanja wanaenda na wewe muda wanajua ipo siku utamega kavu tuu....mambo ya vyeti kwenye simu utamdanganya nani
 
na wewe unamashaka ilikuwaje hadi uingie kwa dokta mwenyewe?ulimtia hofu ndo mana akatoka nduki mana kitendo cha wewe kuingia kwa dokta peke yako kilimpa jibu kuwa UNAENDA NUNUA MAJIBU akaona unataka kumuuzia mbuzi kwa gunia! by the way kama nia ilikuwa njema congratulation!!!
1

Jaman plzzzz mnielewe nilikuwa naulizia cz maeneo ya huku mm ni mgeni....."if u can't blv ma words nimetamka rasmi aliye tayari kuanzisha nami maisha anitumie private sms ila awe mcha Mungu sifa zngne za kawaida ila kidogo awe na mvuto....ahahahahh" I'm 28 years old, nafanya kaz wizara ya maliasili"....Kupima kwanza na tendo baada ya ndoa
 
Ilikuwa yapata mida ya saa kumi na mbili natoka ofisin nimebeba bag langu la laptop....ofsn kwetu ni karibu na chuo fulan cha uhasibu nikawa natembea miguu kwan sijabahatika kupata usafiri....

Wakati natafakari nikifika nipike nn kwan bado niko "bachelor", njian nikakutana na binti mrembo sana tena sana akawa anatembea anaelekea maeneo ya chuo...

Bhana eeeh c unajua mtu ukiwa katika harakati za kutafuta mchumba unatupa huku na huku, nikaamua nimpe hi then nikaomba namba ili tuwe tunawasiliana....

Baada ya muda mawasiliano yalikuwa makubwa sana tena sana akawa anakuja hadi ofsn kwangu......

Kilichofanya nilete hii mada hapa ndan ni siku huyu binti alipokuja ndan kwangu.....

Ili ajionyeshe kuwa yeye ni salama i mean kashapima akaja na cheti cha angaza akiwa amekipiga picha kikiwa kwenye cm yake.....hilo suala linitia hofu kidogo kwan sikuamini kama ni kwel au danganya toto...

Siku hyo alidai anataman kuwa na mm kimapenz...., nashukuru nimepewa uwezo wa kuvumilia nilimkatalia nikamwambia nashukuru yy kapima bt hapaswi kuniamni mm nikamuomba asbh yake tukapime ili wote tuwe na uhakika tufaidi penz letu kwa raha....

Huwezi amin asbh nikachukua tax nikambeba ili tukapime, tulipofika sehemu husika nikaomba nikamuone doctor then nitamuita......eeeeeeeeeh niliporudi sikumkuta na simu yangu hakupokea tena na sijawah kumuona tena....

Vijana tuwen makini hii ni zaidi ya hatari kama watu wamefikia kuforge vyeti vya angaza...????

Alijua umeenda kumpanga dokta akuandikie report nzuri ya ugonjwa wako(UKIMWI) ndo maana kakimbia,sasa what the hell ambacho ulienda kuongea nae huyo doctor ambacho huyo mwenzio hakutakiwa kukijua.Hata mimi ningesepa yaani au unasemaje dia @FP
 
unaweza kupima mwenyewe sio lazima kuandamana kwa dr....nenda pharmacy nunua vya kupimia weka ndani ukipata kimwana mnapimana hadi mnaridhika kugegedana

Hii nimeipenda sana. Hivi vile vidude siku hizi wanaweka pharmacy dada Blaki Womani?
 
Last edited by a moderator:
Jaman plzzzz mnielewe nilikuwa naulizia cz maeneo ya huku mm ni mgeni....."if u can't blv ma words nimetamka rasmi aliye tayari kuanzisha nami maisha anitumie private sms ila awe mcha Mungu sifa zngne za kawaida ila kidogo awe na mvuto....ahahahahh" I'm 28 years old, nafanya kaz wizara ya maliasili"....Kupima kwanza na tendo baada ya ndoa

kama mngepima ungesubiri ndoa?
 
Back
Top Bottom