Recent content by Nana G

  1. Nana G

    JamiiForums Tanzania Viwanja Kibada Kigamboni na Mvuti

    [emoji91]MRADI MPYA KIBADA ~~>SHANGWE[emoji817] KM 8 KUTOKA FERRY MITA 600 KUTOKA BARABARA YA KIBADA/MJIMWEMA [emoji117]UKUBWA: SQM 500/600/1000 [emoji117]BEI: TSH,55,000/= @ SQM1 [emoji117]KUTEMBELEA MRADI: TUNAKWENDA SITE KILA SIKU BILA GHARAMA YOYOTE ********************************...
  2. Nana G

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Mwinyi na Mkapa walipewa udaktari wa heshima lakini hawakutumia kunani hawa wanaoutumia?

    Kabla ya Kuwalaumu Kutumia Au Kutotumia Ingependeza Utujulishe Nini hasa kusudio la Kuwatunuku Ili iweje Ili Baada ya Kuwatunuku waweje ,au wafanyeje namaanisha Hivi Kuwaita au kutowaita Nikiwa na Maana Inawezekana Badala ya Kuwalaumu Kwa kulitumia neno Dr, Pengine Tulipaswa kuwapongeza...
  3. Nana G

    JamiiForums Tanzania Vigezo na masharti ya kushiriki katika Stories of Change 2023

    Nimekua Nilitamani Kuandika Toka msimu wa Kwanza Lakini Najikuta Mzito tu Ila mwaka Huu ngoja niamue
  4. Nana G

    JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kufungua Maombi ya kusimamia Mirathi Mahakamani

    Hivi Kwa Mfano Dhamira ya Mali ni kuuzwa Lakini Mteja Bado hajapatikana Je Nini Kinaanza Kugawa Kwa Kufata Asilimia na Mtapouza Mnakamilisha Au Sheria inataka Kwanza ziuzwe Ndipo Mgawane ?
  5. Nana G

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Habari Mkuu Nikihitaji Huduma za Google Lakini Katika Visa Card Wanataka Cvc Badala ya CVV Sasa Mimi Natumia M'pesa Visa Card Yenyewe Ni CVV tu Je Nifanyeje Kupata Cvc ya Mpesa visa card?
  6. Nana G

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Mungu nisingeumba dunia yenye hali ya sasa

    Una Matatizo Katika Kufikiasha Mawazo Yako Mfano Hata Huu Mstari Uliomalizia Unatoa Picha Mbili Moja Ni Kwamba Mungu Hakujua Kuwa Shetani Atahasi Au Amekosea Kwa Kuwa Alijua Kuwa Atahasi Na Bado Akamuumba Kwa Maana Amechagua Njia Si Sahihi Haya Ni Matatizo Katika Kufikiri Na Kufikisha Yaani...
  7. Nana G

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Mungu nisingeumba dunia yenye hali ya sasa

    Tafakari Upya Si Kila Neno Linatumika Kwa Kila Mtu Au Kila Wakati Au Linawezekana Kutumika Mahali Popote Neno "" NINGEKUWA MIMI NISINGEFANYA HI" Neno Hilo Hutumika Kwa Viumbe Tu sio Kwa Muumba. Neno Ulilotumia Linaleta Kasoro Au Makosa Kwamba Kilichofanyika Si Sahihi Maana yake Kimekosewa...
  8. Nana G

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Sasa Watu Wameanza Kuwa Na Akili Ila Utapambana na Upinzani Mwingi Sana Juu Ya Hili Acha Tuone Lakini Tuendako ni Kugumu Mno
  9. Nana G

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Siuoni Mwisho Mwema Kwani Lengo La Story Yenyewe ni ""Tatizo Kuu""[emoji419] Na WA TZ Tulivyo na vichwa Vya Ovyo Mungu Atulinde[emoji120][emoji120]
  10. Nana G

    JamiiForums Tanzania Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

    Kwa Hiyo Simba Ina Mafanikio Dah Nchi hiii ina ushamba Mwingi sana
  11. Nana G

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Thibitisha Kama Hicho Kitabu Ni Qur'an I
  12. Nana G

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Thibitisha Kauli Yako Kama ni Kweli
  13. Nana G

    JamiiForums Tanzania Wasiotaka kustaafu kwetu, ya Malkia UK wanayatamani hapa

    "Kuhusu Kurithiana" Kwanini Kenya Mbona Kama Mfano Wako Kama Si Sahihi? Uhuru Kenyatta Si Mtoto Jomo Kenyatta ? Na Hata Raila Odinga Sio Mtoto wa Jaramogi Oginga Odinga ? Au Mimi Ndio Nimekuelewa Vibaya? Inawezekana Kenya Wametuzidi Sawa Lakini SinKatika Hili.
  14. Nana G

    JamiiForums Tanzania Kwamba Mfalme wa Uingereza ndiye Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola Tanzania ikiwemo maana yake ni nini?

    Kumbe Bado Hewa ya Darasani unayo Ndio Maana Unaamini Kuwa Kilimanjaro Imepindishwa Mpaka Hata Ukikuzunguka Ukaacha Njia Ndogo tu Hiyo inatosha Kuwa Tofauti Mlima Kilimanjaro Upo Tanzania "Nasema Kwa Sauti Kuu" Hivyo Vi History Vyenu Vya Ku copy na Ku paste Tulieni Kwanza
Back
Top Bottom