Recent content by Namwembe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Sasa pombe anywe chumbani kwake peke yake ina uhusiano gani na kubakwa.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Wanigeria kama wachagga tu hapa bongo, hawachagui cha kufanya, ili mradi december akaonyeshe kitu kwao. Kukaba, kuiba, ujambazi, kitmoto, nyama choma nk. Chochote kwao fursa kiwe halali au haram
  3. N

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unajua maana ya Warmonger? Tuanzie hapo kwanza
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Si kweli, usipotoshe umma. Hakuna ajira za design hizo enzi hizi. Kama mtu hujachaguliwa jua huqualify. Kumbuka watu wasio na ajira ni malaki hamuwezi wote kufanya jazi TRA. So ikitokea bahati mbaya hujakidhi vigezo jua kuna ambao wamekidhi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

    Halafu ndo summary yenyewe yaan
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mashimba: Waziri Simbachawene kiukweli Kanisa la Tanzania lina hali ngumu sana, Wachungaji wanaendekeza matumbo yao!

    Hapana uyahudi ni dini. Kabila ni yake makabila kumi na mbili ya watoto wa Yakub ambao almost wote dini yao ni uyahudi. Na kumbuka hao wayahudi wanamjua Musa na Yesu hawamtambui kabisa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa kawe; Mimi hunitishi kitu kwa sababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu

    Hiyo confidence kuna pahala imejikita sio bure. Anajua anachokifanya
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trapped to a married man

    We kweli una moyo wa kiume na maamuzi ya kiume na declaration za kiume. Why uteseke wakati hizi ishu zipo possible tena enzi na enzi. Sidhani kama you are the first one. Big up
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

    Hii comment niliisubiri sana. Hitler kweli aliwaua wayahaudi wa ulaya na si wayahudi tu. Lakini pia si iwa idadi inayozungumzwa, Wayahudi wamejaliwa sana kwenye propaganda huenda kuna hidden agenda ya wao kudanganya figure. Walikuwa na maana yao ambayo huenda sisi hatuijui.
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

    Kwenye umalaya nakataa
Back
Top Bottom