Recent content by nambingi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, Rwanda wanaweza kutusaidia kiteknolojia?

    Wazo na maoni yako ni mazuri....but maswali 2...how do you gain experience on utashi wa kisiasa kwa kiongozi pekee bila wataalamu wake kuwa na uzalendo? Nina imani ndicho watakachokifanya wataalamu kutoka rwanda. Rais JPM yuko serious but hao wataalamu wengu unaosema tunao wahana huo uzalendo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwingine adakwa kwa kumkashifu Rais Magufuli kwenye mtandao wa "WhatsApp"

    Nadhani heshima ni kitu cha bure tu hakilipiwi. Siasa na uhuru wa mawazi havituelekezi kwenye kudharau nafsi ya mtu. Tujirekebishe
  3. N

    JamiiForums Tanzania Utafiti kwa wanaume wa Afrika

    Mmmh hii kali...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kwanza duniani kujenga juu ya reli anatokea Tanzania,mpe neno

    Ni nchi hii tu duniani
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Kutengeneza Fedha Kwa Njia Ya Intanet Na Jinsi Ya Kuepuka Kutapeliwa.

    Kiweke kwenye mtandao tutakidowload why tukutumie email zetu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wagonga ukuta, watoka kapa Ikulu

    Aaah wapi miaka yote hiyo hawYaji maslahi ya Tanzia au? Awamu iliopita kj ameenda sana USA mpaka obama kaja tz. Yako wapi matokeo chanya zaidi ya sisi kuendelea kuwa masikin?
  7. N

    JamiiForums Tanzania NECTA mnawaonea watoto

    Ongeza C moja lazima uwe na C tatu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzifunga akaunti zake kwenye benki za biashara na kuzipeleka Benki Kuu

    Kama walikuwa wanafanya biashara na hela zetu wenyewe halafu wanatupiga riba.....wakimbie tuu kumbe walikuwa hata haeana faida kwa uchumi wa nchi yetu. Tutayumba lakini tutapata kAzi nyingine ya kufanya na nidhamu mtaani itakuwepo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Agizo la Kurudishwa Kazini Watumishi wa Serikali

    Unazijua faida na hasara za kufukuzwa kazi jukwaani hata kama baadaye utarejeshwA kazini kimyakimya kwa aibu ya serikali.
Back
Top Bottom