Mwingine adakwa kwa kumkashifu Rais Magufuli kwenye mtandao wa "WhatsApp"

Kiswahili nacho ni kipana,na kuna majina mengine yana maana tofauti tofauti yaani maana zaidi ya moja
Nadhani itatupasa sasa kutotumia baadhi ya majina na maneno la sivyo sheria itagonga kengele
By the way busara itumike katika hili kwani kama kungekua na uamuzi wa kudig mtu kufuatilia kila alichoandika isingekua rahisi kuchomoka.
 
Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais kwenye mtandao wa WhatsApp.

Hapa cha muhimu ni kujuwa sheria hii inafanya kazi, inakamata, inahukumu na kufunga wananchi. Tutumie lugha ya staha, vijana hamko salama kwenye fb, twitter na WhatsApp...sheria ya mitandao ipo na inazunguka kama Simba aungurumae akitafuta mawindo.
=========

Leonard Mulokozi Kyaruzi amefunguliwa mashtaka kwa kumkashifu Rais John Pombe Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp tarehe 2 Juni 2016. Kyaruzi anatuhumiwa kutenda kosa hilo akiwa jengo la Tanzanite jijini Dar es Salaam ambapo aliandika "Hivi huyu Pombe ni kwamba hana washauri? Hashauriki? Au ni zuzu? Bwege sana huyu jamaa, he doesn't consider the law in place before opening his mouth!. Au na yeye anaumwa ugonjwa wa Mnyika?" Ilisema sehemu ya hati ya mashtaka.

Sio Cyber Crime, Huyu kijana kashitakiwa kwa sheria ya Electronic and Postal communication Act No. 3 of 2010 , kifungu cha 118 (a) ambacho inasema hivi

. Any person who-

(a)by means of any network facilities, network services, applications services or content services, knowingly makes, creates, or solicits or initiates the transmission of any comment, request, suggestion or other communication which is obscene, indecent, false, menacing or offensive in character with intent to annoy, abuse, threaten or harass another person; commits an offence and shall, on conviction, be liable to a fine not less than five million Tanzanian shillings or to imprisonment for a term not less than twelve months, or to both and shall also be liable to fine of seven hundred and fifty thousand Tanzanian shillings for every day during which the offence is continued after conviction

Hii sheria ilikuwepo tangu mwaka 2010 lakini sasa ndio inatumika kikamilifu, najiuliza kwa nini sasa na si awamu zilizopita?

Siyo Cyber Crime Act, huyu kijana kashitakiwa kwa sheria ya Electronic and Postal communication Act, No 3 of 2010, kifungu cha 118(2) ambacho kinasema hivi;
Electronic and Postal communication Act No. 3 of 2010 , kifungu cha 118 (a) ambacho inasema hivi

Any person who-

(a)by means of any network facilities, network services, applications services or content services, knowingly makes, creates, or solicits or initiates the transmission of any comment, request, suggestion or other communication which is obscene, indecent, false, menacing or offensive in character with intent to annoy, abuse, threaten or harass another person; commits an offence and shall, on conviction, be liable to a fine not less than five million Tanzanian shillings or to imprisonment for a term not less than twelve months, or to both and shall also be liable to fine of seven hundred and fifty thousand Tanzanian shillings for every day during which the offence is continued after conviction.

Hii sheria ipo toka mwaka 2010 lakini naona kipindi hiki kuliko awamu zilizopita najiuliza kwa nini?
 
Kwa sheria hii,Kama wanaomtusi Mbowe na lowassa wangechukuliwa hatua pia.Magereza na sero za polisi zingehitaji upanuzi wa haraka.
we kibaraka wa mramba mbona mlimtukana sana Kikwete na bado mnamtukana na wadau tuko kimya? unafikiri mnaomtukana Kikwete mngeshughulikiwa kuna magereza yangetosha hata kama yangekuwa ya east africa nzima?
acheni kwanza magufuli awanyooshe ili siku ingine mtie akili. Kikwete aliwadekeza sana. sasa magu kawaweka kando kabisa kwenye uongozi wake na hata mitaani/mitandaoni. labda mtajifunza siku za huko mbeleni.
 
Haujapata mantiki yangu. Tatizo haujasoma mantiki kama somo. Mshangao has never been a statement in logic. Go back to your elementary logic class in the last year of english thinking tools' course or in the first year of critical thinking and argumentation course. kwenye mkato hapo panaweza kuwa na la kuzungumzwa!!!
Kama mantiki unazungumzia somo la Logic basi sio tatizo. Ili kupata shahada ya kwanza ya fani yangu ni lazima usome Foundation of Mathematical Analysis ambayo kuna logic ya maana. Pia lazima usome tena Core Course nyingine inaitwa LOGIC AND SEMANTICS. Pale katika maelezo yake kuna sentensi mbili ambazo zimetenganishwa na mkato. Sentensi ya kwanza ina qualify kuwa STATEMENT, ya pili ni opinion tu ambayo imeishia na alama ya mshangao haina sifa ya kuwa statement sababu majibu yake hayawezi kuwa TRUE au FALSE. Ila ile ya kwanza majibu yake yanaweza kuwa TRUE au FALSE.
Kwa kumalizia tu ile ya Kwanza ni PREDICATE by means of copula. His words ware in a form of rhetoric. Yaani yule jamaa anaweza kutiwa hatiani kwa sababu ya sehemu ya kwanza maneno yake ya porojo. Mwisho wa siku hata akishinda anakuwa ameshapata usumbufu na hasara ya pesa, muda n.k. ikiwepo kutulia mahabusu kwa masaa kadhaa. Kukosa uhuru wa kusafiri pia.
 
Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais kwenye mtandao wa WhatsApp.

Hapa cha muhimu ni kujuwa sheria hii inafanya kazi, inakamata, inahukumu na kufunga wananchi. Tutumie lugha ya staha, vijana hamko salama kwenye fb, twitter na WhatsApp...sheria ya mitandao ipo na inazunguka kama Simba aungurumae akitafuta mawindo.
=========

Leonard Mulokozi Kyaruzi amefunguliwa mashtaka kwa kumkashifu Rais John Pombe Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp tarehe 2 Juni 2016. Kyaruzi anatuhumiwa kutenda kosa hilo akiwa jengo la Tanzanite jijini Dar es Salaam ambapo aliandika "Hivi huyu Pombe ni kwamba hana washauri? Hashauriki? Au ni zuzu? Bwege sana huyu jamaa, he doesn't consider the law in place before opening his mouth!. Au na yeye anaumwa ugonjwa wa Mnyika?" Ilisema sehemu ya hati ya mashtaka.

Tatizo kubwa tulilonalo sasa nikushindwa kuzimiliki hisia zetu pale tunapofanya maamuzi ya kuongea mambo yanayo wahusu watu wengine. Kutukana bila sababu ya msingi na hata kama sababu ya msingi itakuwepo bado ni kosa. ni jambo la ajabu kutafuta umaarufu kwa kuvunja sheria za nchi. Kwakuwa kosa kama hilo linaweza kuwa na faini ili kuepuka kwenda jera nadhani wadau watamchangia ili aepuke kwenda kukojoa amechuchumaa.
 
Kama mantiki unazungumzia somo la Logic basi sio tatizo. Ili kupata shahada ya kwanza ya fani yangu ni lazima usome Foundation of Mathematical Analysis ambayo kuna logic ya maana. Pia lazima usome tena Core Course nyingine inaitwa LOGIC AND SEMANTICS. Pale katika maelezo yake kuna sentensi mbili ambazo zimetenganishwa na mkato. Sentensi ya kwanza ina qualify kuwa STATEMENT, ya pili ni opinion tu ambayo imeishia na alama ya mshangao haina sifa ya kuwa statement sababu majibu yake hayawezi kuwa TRUE au FALSE. Ila ile ya kwanza majibu yake yanaweza kuwa TRUE au FALSE.
Kwa kumalizia tu ile ya Kwanza ni PREDICATE by means of copula. His words ware in a form of rhetoric. Yaani yule jamaa anaweza kutiwa hatiani kwa sababu ya sehemu ya kwanza maneno yake ya porojo. Mwisho wa siku hata akishinda anakuwa ameshapata usumbufu na hasara ya pesa, muda n.k. ikiwepo kutulia mahabusu kwa masaa kadhaa. Kukosa uhuru wa kusafiri pia.

Aiseee kumbe jf Kuna wasomi hivi
 
Kwa vijana wa chadema huu ni utamaduni na mila zao. Haihitajiki elimu ya chuo kikuu kujua kuwa hii ni mila na tamaduni ya chadema. Pia mtu alieathirika anachangiwa faini na wabunge wa chadema. Nafikiri nitakuwa nimeeleweka kama nawasiliana na mtu.

Kama Ni mtu kweli tafadhali andika hizi herufi
N I m e e l e w a 2025 Halafu bofya hApA
 
You are a great thinker!

I would also think that kwenye huo ujumbe, hata Mnyika ametukanwa. Na hiyo barua yenyewe kwanza ni matusi dhidi ya rais na Bw Mnyika, haina tofauti na kosa lenyewe kama kweli ni kosa. Kwa mantiko hiyo naweza kusema aliyesaini hiyo barua, anayetuhumiwa kutoa hayo maneno, JF, na hata wanao-repost hiyo barua wote wana makosa.

In my view huko ni kuchezea sheria na sio kuitumia sheria.
 
Hivi hiyo sheria ni kwa wanaomdhihaki JPM pekee? Mbona tunashuhudia wanasiasa na watu wakawaida wengi tuu wakitukanwa lakini hakuna hata zinachukuliwa? Nani hajaona matusi anayopewa Eddo mitandaoni na watu wanaofahamika? Mbowe, Slaa, Nape nk?
Kumbe ilitungwa kwa ajili ya mtu mmoja tuu
Haya nayo ni maneno yanayoingia kweeeeeli.
Northern Korea in Tz.
 
Kifaa unachotumia katika kupost maneno yako kina utambulisho maalum ndiyo maana kwa sasa simu zinatakiwa kuwa registered na pia kinaonyesha sehemu uliyokuwa wakati unapost kwenye mtandao.

Kwa sasa jeshi la polisi liko mbioni kuboresha zaidi huduma zake kiasi kwamba hata ukipiga tu polisi emergency number bila kuongea, polisi watakuja haraka sehemu ambayo namba hiyo ilipigwa.

Ukitumia computer pia itafahamika sehemu ambayo maneno uliyopost yametokea kwa sababu kila computer ina unique identification na sehemu/eneo ilipo.

Kumbuka hata kama utafuta maneno uliyopost utakuwa unapoteza muda kwa sababu yatakuwa bado yapo ndani ya simu au computer internal hard drive kama polisi wataipekuwa simu yako au komputa yako.

Cha muhimu ni kujaribu kutovunja sheria hata kama sheria ni kandamizi.

Jamiiforums moderators wanajitahidi sana kufuta maandishi yenye matusi kwa faida ya mtu aliyeandika tusi/matusi.
I remember the time of enlightenment epoch on 15 century,ndo tumerudishwa huko.
Masikini Tanzania!
 
Nadhani heshima ni kitu cha bure tu hakilipiwi. Siasa na uhuru wa mawazi havituelekezi kwenye kudharau nafsi ya mtu. Tujirekebishe
 
Hapo hamna kesi. Hamna specific identity ya Rais. Pombe wapo wengi, anachokatikiwa kufanya ni kugoma hamuongelei pombe huyo walalamikaji wanaosema katukanwa.

alafu umetoa point ya mana sana. watu waanze kumtengenezea tu Raisi nicknames. kwani sheria inasema kumtukana Raisi ndiyo kosa. Lakini kama unatumia jina la mtu mwingine kabisa wao wanawezaje kuthibitisha unamuongelea raisi?
 
Sio Cyber Crime iliyotumika ni Electronic and Postal Communication Act ya 2010, na katika sheria watu wote wanachukuliwa sawa mbele ya sheria, awe raisi au mwanachi wa kawaida. na mtu hawezi kuhukumiwa adhabu kubwa sababu amemtukana raisi, na sheria haijatenganisha raisi na wananchi wa kawaida.
Serikali na iwe fair ichukue hatua kwa watu wengine wakitukanwa na sio raisi peke yake ili jamii isione kwamba hii sheria ipo kwa ajili ya watu fulani tu.
Nacherewa sijamaanisha kwamba Rais yupo juu ya sheria
 
Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais kwenye mtandao wa WhatsApp.

Hapa cha muhimu ni kujuwa sheria hii inafanya kazi, inakamata, inahukumu na kufunga wananchi. Tutumie lugha ya staha, vijana hamko salama kwenye fb, twitter na WhatsApp...sheria ya mitandao ipo na inazunguka kama Simba aungurumae akitafuta mawindo.
=========

Leonard Mulokozi Kyaruzi amefunguliwa mashtaka kwa kumkashifu Rais John Pombe Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp tarehe 2 Juni 2016. Kyaruzi anatuhumiwa kutenda kosa hilo akiwa jengo la Tanzanite jijini Dar es Salaam ambapo aliandika "Hivi huyu Pombe ni kwamba hana washauri? Hashauriki? Au ni zuzu? Bwege sana huyu jamaa, he doesn't consider the law in place before opening his mouth!. Au na yeye anaumwa ugonjwa wa Mnyika?" Ilisema sehemu ya hati ya mashtaka.

Itabibidi tuzibe keypad na plast kama wanaukawa walivyojiziba midomo yao manake mi sioni kama kuna mungu wa duniani zaidi wa muumba wa mbingu bora na ashushe gharika tujue moja
 
Back
Top Bottom