Utafiti kwa wanaume wa Afrika

barakachaplin

Senior Member
Jan 24, 2014
116
52
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao"MSAMAHA".

2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WASENEGAL.

3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - WAKENYA.(Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao. Chama cha kutetea haki za wanaume hadi sasa kina wanachama laki 8).

4. Wanaume wanaosali zaidi Afrika - WASOMALI.(kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5kila siku. Hata katikati ya vita huwaachi kuswali).

5. Wanaume matapeli zaidi Afrika - WANIGERIA (kati ya wanaume 10 wa Nigeria, 6 ni matapeli wa kutupwa. Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu).

6. Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika - WAKONGO (hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke. Wanaitwa"MARIO").

7. Wanaume wasomi zaidi Afrika -WASHELISHELI (SYCHELLES). (Kila wanaume 100, 40 wana degree.Tanzania kila wanaume 100 ni watatu wana degree).

8. Wanaume washamba zaidi Afrika - WAERITREA.(Ukienda kanisani/msikitini na gari jipya wanaahirisha kusali washangae gari kwanza).

9. Wanaume wachawi na Washirikina zaidi Afrika - WAGAMBIA.(Rais wao YAHYA JAMMEH hutumia waganga na wapiga ramli kama sehemu ya walinzi wake).

10. Wanaume wenye mikwara mingi mdomoni lakini waoga kutake "action" - WATANZANIA
 
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao"MSAMAHA".2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WASENEGAL.3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - WAKENYA.(Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao. Chama cha kutetea haki za wanaume hadi sasa kina wanachama laki 8).4. Wanaume wanaosali zaidi Afrika - WASOMALI.(kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5kila siku. Hata katikati ya vita huwaachi kuswali).5. Wanaume matapeli zaidi Afrika - WANIGERIA (kati ya wanaume 10 wa Nigeria, 6 ni matapeli wa kutupwa. Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu).6. Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika - WAKONGO (hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke. Wanaitwa"MARIO").7. Wanaume wasomi zaidi Afrika -WASHELISHELI (SYCHELLES). (Kila wanaume 100, 40 wana degree.Tanzania kila wanaume 100 ni watatu wana degree).8. Wanaume washamba zaidi Afrika - WAERITREA.(Ukienda kanisani/msikitini na gari jipya wanaahirisha kusali washangae gari kwanza).9. Wanaume wachawi na Washirikina zaidi Afrika - WAGAMBIA.(Rais wao YAHYA JAMMEH hutumia waganga na wapiga ramli kama sehemu ya walinzi wake).10. Wanaume wenye mikwara mingi mdomoni lakini waoga kutake "action" - WATANZANIA

Mmmh hii kali...
 
Back
Top Bottom