Recent content by nalo neno

  1. nalo neno

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejua upatikanaji wa mashine za kamari zile za kuweka 200

    Mkuu naomba nitumie hayo mawasiliano, Asante.
  2. nalo neno

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

    Still anaweza kuwa alipotea na kuenda mbali eneo ambalo hamna anaejua kuhusu udhaifu wake. Sasa wenda amefika huko akachukua mali ya mtu (kwa akili yake aliona sawa kulingana na matatizo yake) na kukutwa nayo read handed na kwa kuwa huwa hawawezi kujielezea kutokana na udhaifu wao, basi kibao...
  3. nalo neno

    JamiiForums Tanzania SoC01 Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

    Umesahau kumuhusia kuwa ipo siku na wewe mwanangu utakufa, hivyo na wewe uwahusie wanao Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
  4. nalo neno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

    Hivi Russia wakicheza na simba sports klabu nani atashinda!!!
  5. nalo neno

    JamiiForums Tanzania Kufungua biashara ya barbershop

    Habari zenu sana jamvii. Nahitaji kufungua biashara ya barbershop ya kisasa eneo nililopo, ingawa zipo saluni ndogo ndogo za kiume kama 6 hivi na barbershop za kawaida tatu na zina nafasi finyu kidogo. Je naweza kujitosa na kufungua ilihali kuna saluni nyingi hapa mtaani? Aidha ni biashara...
  6. nalo neno

    JamiiForums Tanzania Jengo /frame za biashara zinakodishwa Mtoni Kijichi CCM

    Jengo /frame za kisasa kubwa za biashara zinakodishwa Mtoni Kijichi CCM laki 5 kwa mwezi kila moja. Lipo karibu na tawi la CRDB kijichi. Jengo linafaha kwa shughuli za ofisi au biashara ambayo itaweka jengo katika mazingira ya usafi muda wote. Eneo kubwa la parking ya magari Mazungumzo yapo...
  7. nalo neno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke ukishamtumia kwa mara ya kwanza siku nyingine hasumbui tena

    Mmmh! Kweli?
  8. nalo neno

    JamiiForums Tanzania Msichana wako wa kazi unamlipa ngapi?

    Natafuta msichana wa kazi wa nyumbani....mshahara 50000...kama upo tayari ni PM
  9. nalo neno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Tunaomba link jamani tuone mamboz aliyofanya laveda
  10. nalo neno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Naomba link nione ule uchafu wake mkuu...
  11. nalo neno

    JamiiForums Tanzania Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    Plate number ya A B au C?
  12. nalo neno

    JamiiForums Tanzania Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    Weka picha mzee
  13. nalo neno

    JamiiForums Tanzania Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    Mzee embu weka picha hapa au nitumie kwa PM
  14. nalo neno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dakika ni ya ngapi sasa?
Back
Top Bottom