Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

Natumia simu mkuu! Sioni kitufe cha LIKE

Umeonaa Eeh, Uzi Unajieleza Gari Isizidi Mil 7,jitu Linakuja Kutangaza Linauza Gari Bei Mil 9, Au ,kumi, Kama Siyo Bangi Ni Nini? Hata Hao Wenye Magari Yasiyozidi Mil 7, Hawaweki PICHA,DETAIL ZOTE,WAPI LILIPO GARI.NK
 
habari tena wana jamnvi. mpaka sasa nimefanikiwa kuchukua gari Mbili. Ningeomba wale wenye magari usisahau kuweka 1. Picha ya gari (reg number ionekane), 2. Bei ya gari. 3. Details muhimu (imetembea km ngapi, model gani, umeiingiza inchini) 4. Namba zako za simu.
 
Nataka Civilian Mkuu.

Haina Noma Mkuu Ipo Ilala Bungoni ukitaka kuiona nenda karibu na msikiti unapita kwa Iddi Simba barabara mpya ya Lami kabla ya Bar upande wa Kushoto uliza kwa Faisal kuna fundi anaitwa Mussa nimeiacha anaipiga Floor mpya... baada ya kama wiki au wiki mbili ukinipa naileta popote ndani ya Dar... Angalizo ni Daladala ndefu Makumbusho V/A Kivukoni
 
nkuuzie rav 4, namba A, milango mitano, manual bei 4.5mln, one kick start ni service ndogo ndogo tu za kufanya..gari iko oposite na akiba bank kinondoni branch
 
rav 4 ni ya 1999.....namba yangu ya sm 0715591141
 
Nina vitz nimeiingiza nchini mwezo wa sita mwaka huu,namba yake ni CYB..,haina tatizo lolote,ni low mileage na inakula mafuta vizuri sana,nataka 7.4 mil mkuu,karibu

Mzee embu weka picha hapa au nitumie kwa PM
 
Mzee embu weka picha hapa au nitumie kwa PM


Mzigo wote huu hapa:
PC1.jpgPC2.jpgPC3.jpg

Hapo unavyouona ndivyo ulivyo hadi sasa hivi mkuu,haujawahi kupata rabsha kaka,sasa hv mileage yake imefikia km elf 80 na ushee hiviii,inafanyiwa service kila baada ya km 3000,ipo poa sana mkuu,karibu,pia namba yng ya simu ni 0788111155
 
habari tena wana jamnvi. mpaka sasa nimefanikiwa kuchukua gari Mbili. Ningeomba wale wenye magari usisahau kuweka 1. Picha ya gari (reg number ionekane), 2. Bei ya gari. 3. Details muhimu (imetembea km ngapi, model gani, umeiingiza inchini) 4. Namba zako za simu.

Mzigo wenyewe ni huu hapa chini:
View attachment 195342View attachment 195343PC4.jpg
PC6.jpg
Mzigo huu nimeuingiza nchini mwezi wa sita mwaka huu,namba yake ni CYB 225,old model ya 2000,ngoma ngumu, sasa hv mileage yake ni km elf 80 na ushee,imefanyiwa service zote kila muda wa service unapowadia,haina historia ya accident,naiuza kwa sababu nina gari lingine mkuu,bei yng ni mil 7.4 tu mkuu,karibu sana
 
Mzigo wenyewe ni huu hapa chini:
View attachment 195342View attachment 195343View attachment 195344
View attachment 195346
Mzigo huu nimeuingiza nchini mwezi wa sita mwaka huu,namba yake ni CYB 225,old model ya 2000,ngoma ngumu, sasa hv mileage yake ni km elf 80 na ushee,imefanyiwa service zote kila muda wa service unapowadia,haina historia ya accident,naiuza kwa sababu nina gari lingine mkuu,bei yng ni mil 7.4 tu mkuu,karibu sana

Mzigo bado upo ng'ambo?weka picha za gari yenyewe ilivyo hapa tz
 
Yaani ina maana unataka uone plate namba ya njano kwa usajili wa CYB 225

Tehe teheeee wabongo Bwana, umenifurahisha

Siyo hivyo tuu na kuiona hali yake pia, kila mtu anajua vitz zina muonekano gani ila wanapoomba picha wanataka kuijua hiyo gari iko kwenye hali gani ya body yake, inawezekana imegongwa au ina dents kibao, au rangi yake ni ya pink...kuwa na #CYB siyo guarantee ya gari kuwa bado mpya kama imetoka japan
 
Back
Top Bottom