Recent content by nakose

  1. N

    GE2010 YAFAHAMIKA: Kura za Dr. Slaa zinapunguzwa kwa amri

    Nyinyi wanajamii forum mnaojiita wasoma acheni kua wajinga...pumbafu nyie Mkishinda mnashangilia ila mkiona mnakaribia kushindwa ndio mnaanza kulalamika. Hivi usomi wenu uko wapi???pale kwenye ukweli simameni kwenye ukweli...acheni kulalamikia ujinga. Habari ndio hiiioooooooooooooooo CCM is...
  2. N

    Barrick gold msitufanye mabwege!

    Mdau Mi naona kama ungefuatilia vizuri. Ukitaka kazi za Barrick Gold soma zaidi Guardian na Daily news ndiko wanakotoa matangazo mengi ya kazi. Lat week wametangaza nafasi kama 6 hivi Moja ikiwepo Process plant training Superitendent.(Mdau hiki ni cheo cha juu sana mgodini,kama unamjua mtu...
  3. N

    Kuolewa na Mzungu Tanzania, ni Ticket ya U-celebrity au Njaa?

    Jamani hawa wazungu ikija kwenye suala la kupeana raha chumbani ni zero kabisaaaaaaaaaaaaa. Lakini wanajua kupenda na akikupenda basi wewe ni malkia. Makaka zetu wa kibongo ikija kwenye suala la kuridhishana wala usiongee..they will take you to the moon..ila sasa tatizo lao na wao mtapangwa...
  4. N

    Kikwete siyo safi! - yes I said it!

    Mi nakubaliana na wewe kabisa kua Kikwete sio safi. Ila tukimuondoa Kikwete nani ambae ana afadhali??? Tuwe wakwelli jamani...Watanzania bado tuna mwendo mrefu..hatuna kiongozi ambae twaweza sema ni 100% kama kina Obama na Clinton...hawa wa kwetu kuna mawili,its either Ni fisadi au bongo...
  5. N

    kazi

    Barrick Bulyanhulu wanaajiri watu wa supply kama 10 hivi...kwenye wiki ijayo watatoa matangazo unaweza kuomba
Back
Top Bottom