Recent content by Najiona Mimi

 1. Najiona Mimi

  Wanawake badilikeni, mtaisha

  Umenena fact sana
 2. Najiona Mimi

  Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

  Yah sure ww jaribu fanya tathmin wanawake uliowapa sana muda wako sana je waliendelea kukupenda?
 3. Najiona Mimi

  Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

  Ukwel mtupu ukiwa na mwanamke mmoja kuna possibility ya kua unampa muda wako sana huyo mwanamke na nature ya binadamu akishajua anapendwa sana hata kama na yy anakupenda kuna possibilty ya kuja kuumizwa mbeleni..
 4. Najiona Mimi

  Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

  Shukran sana chief[emoji1431]
 5. Najiona Mimi

  Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

  Nimekuelewa sana,inabid umchague mwanamke utakeyeweza kummudu na ambaye umemridhia
 6. Najiona Mimi

  Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

  Asante kk nashukuru,vp kuhusu dirisha la kuappeal lishafungulowa au bado?
 7. Najiona Mimi

  Huyu mrembo simuelewi kabisa

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]
 8. Najiona Mimi

  Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

  Kwa mtu aliyepata mkopo healb ila ukawa haumtoshi,akataka kuappeal aongezewe et,inawezekana akappeal af akapunguziwa kabsa?
 9. Najiona Mimi

  Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

  Kwa jinsi ulivoandika kwa jazba nilihisi lazima umetendwa na mtu tena inaonekana sio muda mrefu sana na bado unampenda mpaka leo.
 10. Najiona Mimi

  HESLB Kuappeal

  Kivp kk?mbona nasikia ukikosa unabak na asilimia zako zilezile
 11. Najiona Mimi

  HESLB Kuappeal

  Kwa wale wenye uzoefu katika suala la kuappeal emu tusaidiane. Mimi mbona nikijaribu kulogin kwenye account yang inakubal kuloig lakin haioneshi distribution ya mkopo wangu. Maana nilipata mkopo ila nataka niappeal ili waniongezee maana naona mkopo hautoshi isitoshe nna mzaz moja ambaye ni...
 12. Najiona Mimi

  Mara yako ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
 13. Najiona Mimi

  MSAADA:Namna ya kun’garisha viatu vya aina hii

  Hali ya uchumi mbaya, mambo yangekua mazur ningepeleka kila mtu anakula ridhiki lwa njia yake
Top Bottom