Recent content by Nainyo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

    Kweli wanaume wa dar mchuzi kabisaaa wamejazana hapa kila MTU anataka vumbi la Kongo shauri yenu mkishindwa kabisa kazi itabidi mgeukie upande wa pili
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    Pole kwa mstuko mkuu ila kila jambo linalokuja huwa Lima sababu cha msingi tupa hofu kule fuata ushauri wa wanajamii.....mtoto ale vizuri ila asubuhi MPE kijiko cha asali ya nyuki wadogo pamoja na kijiko cha habbatsoda ndani ya miezi sits kapime ila mbogamboga sana matunda na maji nyama punguza...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Sasa mkuu tatizo likiwa in spiritual muathirika atatumia kama huyu wa kawaida??
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanasaikolojia wanena sababu za wanandoa wengi kuuana

    Mungu tusaidie kwa akili zetu pekee hatuwezi tunahitaji akili hekima na busara zako zituongoze.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya Ke/Me ni kwamba "mwanamke ana roho mbaya na mwanaume ana roho ngumu"

    Sii kweli mkuu kila binadamu ameubwa na sifa ya wema ila kinachotokea MTU akafanya jambo baya tambua sii yeye bali shetani yupo nyuma yake ndo maana akishatekeleza lile jambo adui anaondoka anabaki yeye ndani ya majuto makubwa.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msomi DUCE alalamika kuwekwa wodi ya vichaa wakati sio kichaa

    Hawa polisi wa Siku hizi wanakula maharage ya wapi?????
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yajue majina ya Kichaga na maana yake

    Ndembikio...nilibambikiziwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watalii 100 Kutoka Uswisi watua nchini kutembelea vivutio mbalimbali

    Kwa hiyo tufanyeje??
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kitabibu kwa tatizo la vidonda vya tumbo

    Jitahidi kupata mchemsho wa bamia au juice yake km utaweza. Pia jitahidi kula mboga ya mlenda vimenisaidia sana hivyo.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hili jipu litajirudia tena?

    Dawa ya jipu ni kulitumbua. Kama umekunywa dawa ya kulikausha tayari umeshawauwa hao bacteria hawawezi tena kurudi.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la wachawi kufanyika mwaka huu Tanzania

    Mshana wezi wa Siku hizi hawavai nguo nilishakamata vibaka Mara mbili huwa hawavai nguo ya juu ni kikaptula na miguu ni peku.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Igunga, Tabora: Mtu mmoja auawa na mwingine kajeruhiwa na Fisi

    Duh poleni sana. Mungu awatie nguvu wafiwa na majeruhi apone haraka.....ila fisi kwa uroho amepitiliza!!!!!alianza kumshambulia makalio loooh!!!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanda changu nahitaji mfunguzi

    Jiwe utamuona hapo kesho na mkasi wake na mikamera kibao. Subiri utamwagiwa na misifa kedekede kuwa sasa watanzania wameielewa Sera ya viwandwa.
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hon.Tundu Antiphas Mungh'wai Lissu for Tanzania 2020

    Jipe moyo mkuu kwanza mbowe atoke pili lowasa wake aondolewe mambo yatakuwa muswano vinginevyo bado mtaendelea kuswagwa tuu. Wanasiasa in wanafiki sana
  15. N

    JamiiForums Tanzania Unahitaji fremu ya biashara

    Tangazo lako hili umelilipia lakini???
Back
Top Bottom