Kiwanda changu nahitaji mfunguzi

Mzee Mchochezi

Senior Member
Apr 3, 2018
126
242
Ni kiwanda cha mtanzania mzalendo nimeamua kuunga mkono juhudi za raisi katika kuifanya Tanzania kuwa ya viwanda

Nahitaji mfunguzi nianze kuuza products officially.
FB_IMG_1526141499357.jpg
 
Naiona lie big condenser, conical frask, collection distillation flask, tripod stand, bunsern burner isipokuwa wire gauze,

Unachemsha na kuchakachua bia kutoka kwenye mchanganyiko wa maji na nafaka zilizo vunda katika joto ridi la nyuzi 78 nukta zero,

Hii ni fursa kwa wahusika kuzindua mradi huu,

Viva TANZANIA ya viwanda
 
na wasi wasi na mtoa uzi huenda viroba vimeshamuathiri sana.kejeli,matusi,kashfa si utamaduni wetu uvccm.hatutamvumilia yeyote yote anayeleta kejeli kwenye mambo ya msingi ambayo kuyajadili inabidi uweledi wa hali ya juu utumike.nina mashaka na uraia wako mtoa uzi huenda wewe ni mhutu.
 
Hmmmm!!!!
 
Back
Top Bottom