Recent content by naima79

  1. naima79

    Tatizo la ulimi kuchubuka linatokana na nini?

    Habari wakuu, Nina changamoto yapata mwezi sasa ulimi wangu umechubuka ulianza upande mmoja na umeenea kiasi mpk kwa mbele kabisa, nilienda hospital nikapewa cipro ya kumeza na Quadrajel ya kupakaa, hazijanisaidia kabisa, naomba ushauri wa Dr. yupi anafaa kumuona kwa tatizo hili? ni daktari wa...
  2. naima79

    Msaada wa swali hili la Communication Skills

    Shukrani sana Mkuu, Ubarikiwe mno
  3. naima79

    Msaada wa swali hili la Communication Skills

    hahahah nimecheka kwa nguvu, endelea kunisaidia naona haujamalizia, sijaelewa swali
  4. naima79

    Msaada wa swali hili la Communication Skills

    Naomba msaada, sijaelewa hili swali, msaada tafadhali, In not more than a page, draw your experiences with writing discourse as a university student.
  5. naima79

    Kisa cha Kaka Jambazi

    hahaha bora iishie hapohapo ingeendelea baba angekatwa shingo na kaka Jambazi
  6. naima79

    Kisa cha Kaka Jambazi

    Kisa kinahuzunisha jana usiku tulivamiwa na vibaka sijui majambazi, nyumba ninayokaa ni kuna nyumba tano but nyumba moja inakaa familia mbili yaan tunajitegemea ni vyumba viwili,jiko na sebule na kiveranda basi bwana wakavamia wakishawasachi wanawatoa nje so walianza kwa wenzetu me nikawasikia...
  7. naima79

    Wanajamii naombeni mawazo yenu juu ya hili. .

    Hajarogwa huyo, mapenzi tu yamemkolea, waache waoane #chegechigunda
  8. naima79

    Rafiki wa mkeo Rafiki wa Mmeo ni wakuwaheshimu siku zote

    Nina mume na watoto juu, hii nimewaletea ili iwe somo maana kuna cha kujifunza hapo
  9. naima79

    Rafiki wa mkeo Rafiki wa Mmeo ni wakuwaheshimu siku zote

    hayajanifika mimi, nimewaletea hapa japo liwe somo kwetu
  10. naima79

    Rafiki wa mkeo Rafiki wa Mmeo ni wakuwaheshimu siku zote

    Nipelekee kule chumban kwenu MMU, mimi nilikua na mtu wangu tunapendana sana tumekaa mwaka na nusu hapo alikua yuko Tanga me morogoro akahamia dar kikazi na mimi nikapata kazii dar tukapendana sana akaja akajitambulisha akatoa posa bahat nzuri akatakiwa aende darfur kikazi kwaio tukasimamisha...
  11. naima79

    Je, nimuache huyu msichana?

    Hapo ndipo ninapoona tofauti ya mapenzi ya wazungu na waafrika, ingetokea uzunguni hiyo huyo mzungu angemuoa huyo binti wakati huo kwa kuonesha upendo wake kwake na ndio maana wengi wanafunga ndoa na wapenzi wao waliopo kitandani ambao mara nyingine unakuta mwanamke ana stage 4 cancer, lakini...
  12. naima79

    Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

    Mkuu utakuwa mchochezi wewe, hahahaha
  13. naima79

    Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

    Hio hali ni hali ambayo unaweza kuibadilisha, hasira unaweza kuibadilisha wewe mwenyewe tena kwa kupuuzia tu, kuwa aah kwani kitu gani, najikumbuka mimi mwenyewe nilikuwa nina hasira sana, nyumbani balaa ni kila wakati sitaki kuonewa na rafiki wala kaka wala dada angu, lakini huwezi amini...
  14. naima79

    Mke wangu nimemtimua leo

    Ulitaka apeleke wapi mkuu au akawasimulie ukweni? humjui na hakujui ata akileta hapa ana hasara ipi? zaidi ya kupata relief ya tatizo lake? wakati mwingine tunahitaji busara katika kuchangia hoja, huu mchango sidhani kama una manufaa kwa mtoa mada
Back
Top Bottom