kazi ya jukwaa ni nini sasa,kuacha ujinga ni ngumuMambo ya kuleta mambo ya ndani ya nyumba public ni mambo ya kike, Wanawake ndiyo kutwa nzima huongelea mambo ya ndani, maofisini kutwa nzima hata hawafanyi kushinda kuhadithiana kuhusu waume zao, Wanaume hawako hivyo, na hiyo ndiyo sifa ya kiunaume ijulikanayo Dunia nzima, kwamba ni watu kutatua matatizo!
Sasa kama ulishachukuwa uamuzi haukupaswa kuja hapa kulialia ulipaswa kuendela na maisha yako, huo ndiyo Uanaume, na kama ukitaka Mwanamke akuheshimu basi onyesha Uanaume, vinginevyo utabadilisha Wanawake kila siku mpaka ukate tamaa na kuhamia kwa Wanaume sasa!
Hutaki kunifariji na Mimi? Sijaoa badowee njoo nikufariji wewe muache mama alishakuzaa inatosha
Ndiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!
Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!
tehe tehe tehe tehe pole
ulimfundisha nini?
Yaani hawa ndo wale wakikosa internet connection wanatafuta vijiwe vywa kwenda kupiga umbea.ila huku jamii forums mtu akifanya tukio na mke wake lazima alete report eti inatuhusu kwani?
Mmh!!!!! Na ukitaka papuchi bi mkubwa wako atakupa?punguza hasira.Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.
Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.
Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
Usaliti upo tangia enzi za Adam na Hawa...mrudie mkeo

Mkuu napata hasira kweli napofikiria hii kitu. Daah wacha niendelee kuwepo wepo kwanzaSafi sana uamuzi sahihi, wengine wanajiua.
Timua tu aende akaishi atakavyo.
kwi kwi kwi kwi kwi yani ni shidaaaaaaaKamfundisha kupanda ndege. hahahahaha... Nagaragara hapa kwa kucheka
Atamrudia tu hamalizi hata mweziUsaliti upo tangia enzi za Adam na Hawa...mrudie mkeo
Kakusaliti kwasababu umeshindwa kumpa mimba ndani ya miezi 7 ya ndoa yenu.Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.
Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.
Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
Izi stress za wanawake ni shida kubwa sana mimi yalinishinda ndani ya miezi michache mno,wanawake wamekuwa viumbe wa ajabu kabisa bora azini akumbuke kutumia hata kinga basi,hayakumbuki matokeo yake yanaleta na magonjwa ndani ya nyumba mtu kama huyo umfanyeje sasa zaidi ya kumtimua tupole mkuu kuna kausemi kanasema GRASS IS ALWAYS GREENER ON THE OTHER SIDE. mwanamke alitamani kuwa sawa na Mungu akala tunda, atashindwa kutamani wanaume wengine na kuwapa papuchi? hawa viumbe wanalilia kuolewa sio kwasababu wanakupenda saana ila wanataka kujihakikishia maisha tu.
mshike mshike ndege tunduni, sie wajanja tumeshakimbia.