Wanajamii naombeni mawazo yenu juu ya hili. .

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
4,180
2,000
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusema 'mapenzi ni upofu,mapenzi ni kichaa'.

Mdogo wangu kabisa huo ukichaa na upofu unamuhusu...

Hatukuwahi tarajia wala fikiria katika ukoo wetu wa kikristu wa roman katoliki angeweza tokea mtu kukubali kuoa au kuolewa na mu ISLAM.

Mdogo wetu huyu mpendwa amekubali olewa na Islam,, ni bora angekua yeye ndo wa kwanza,,huyo jamaa tayari ana mke na amedumu nae kwa miaka 12... Dogo amekubali kuwa mke wa pili.,haambiliki hashauriki.

Tunajiuliza, kalogwa au kafanywa nini. Mawazo yenu ni muhimu, tumuache aende??? Tuwabariki waoane??

MAPENZI KWELI NI UPOFU..

KARIBUNI KWA MAWAZO.
 
Kyambambembe

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
322
500
Msibugudhi kwa lolote ila mwambieni tunataka tukufanyie maandalizi kabambe then vuteni muda kidogo muone mwisho wake hata kama anaenda kulala huko mwache mkimzuia tu ndio mnachechea zaidi bali kwakumuacha huru mnafanya yakose nguvu
 
Ndoa inaenda fungwa..... In few days to come.
 
pistmshai

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
1,315
2,000
Kama mmemshauri tayari inatosha..

Madhara ya kutumia nguvu hakuna asiye yajua!

ACHA WAOANE ila muachie nafasi ya kurudi nyumbani kama huko mambo yatamshinda
( msimuwekee kinyongo.. hayo ni mapenzi yao )
 
ibra_kan

Member
Aug 19, 2013
14
45
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusema 'mapenzi ni upofu,mapenzi ni kichaa'.

Mdogo wangu kabisa huo ukichaa na upofu unamuhusu...

Hatukuwahi tarajia wala fikiria katika ukoo wetu wa kikristu wa roman katoliki angeweza tokea mtu kukubali kuoa au kuolewa na mu ISLAM.

Mdogo wetu huyu mpendwa amekubali olewa na Islam,, ni bora angekua yeye ndo wa kwanza,,huyo jamaa tayari ana mke na amedumu nae kwa miaka 12... Dogo amekubali kuwa mke wa pili.,haambiliki hashauriki.

Tunajiuliza, kalogwa au kafanywa nini. Mawazo yenu ni muhimu, tumuache aende??? Tuwabariki waoane??

MAPENZI KWELI NI UPOFU..

KARIBUNI KWA MAWAZO.
[URL][/URL]

CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
6,739

Mkuu kwa kuwa hutaki aolewe na mwislam unaonaje ukamuoa wewe kama mila zinaruhusu?
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
146,115
2,000
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusema 'mapenzi ni upofu,mapenzi ni kichaa'.

Mdogo wangu kabisa huo ukichaa na upofu unamuhusu...

Hatukuwahi tarajia wala fikiria katika ukoo wetu wa kikristu wa roman katoliki angeweza tokea mtu kukubali kuoa au kuolewa na mu ISLAM.

Mdogo wetu huyu mpendwa amekubali olewa na Islam,, ni bora angekua yeye ndo wa kwanza,,huyo jamaa tayari ana mke na amedumu nae kwa miaka 12... Dogo amekubali kuwa mke wa pili.,haambiliki hashauriki.

Tunajiuliza, kalogwa au kafanywa nini. Mawazo yenu ni muhimu, tumuache aende??? Tuwabariki waoane??

MAPENZI KWELI NI UPOFU..

KARIBUNI KWA MAWAZO.
Tunafanya kosa kubwa sana kuingilia uhuru wa mtu hasa kwenye ishu za mahusiano...haya mapenzi haya yaoneni hivihivi! Ukisikia mapenzi upofu sio maneno mepesi kabisa
Cha muhimu kama njia aliyochagua itampa faraja amani na utulivu wa mawazo basi haina shida na kama ndoa yake itakuwa haina manyanyaso it's all right
Kikubwa ni kwamba ukishabatizwa umebatizwa hiyo roho utaishi nayo mpaka kifo
 
karume kenge

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
573
500
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusema 'mapenzi ni upofu,mapenzi ni kichaa'.

Mdogo wangu kabisa huo ukichaa na upofu unamuhusu...

Hatukuwahi tarajia wala fikiria katika ukoo wetu wa kikristu wa roman katoliki angeweza tokea mtu kukubali kuoa au kuolewa na mu ISLAM.

Mdogo wetu huyu mpendwa amekubali olewa na Islam,, ni bora angekua yeye ndo wa kwanza,,huyo jamaa tayari ana mke na amedumu nae kwa miaka 12... Dogo amekubali kuwa mke wa pili.,haambiliki hashauriki.

Tunajiuliza, kalogwa au kafanywa nini. Mawazo yenu ni muhimu, tumuache aende??? Tuwabariki waoane??

MAPENZI KWELI NI UPOFU..

KARIBUNI KWA MAWAZO.
Hogera zake mdogo wako ameona mwanga now ndugu zake ni sisi waislam wenzake
 
Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
9,912
2,000
Mdogo wenu ni mtu mzima;mwenye akili timamu,.
Hilo ndio chaguo lake ISLAM.Tena mke wa pili.Mmeshamsahuri kastick na maamuzi yake.Ubaguzi wa dini na mawazo hasi juu ya ndoa yake hayatasaidia.Kama mnaogopa magumu ya ndoa hata ambaye anaolewa Catholic mke Mmoja anakutana na magumu hayo mpaka ndoa kubaki jina au kuachana kabisa.So kuachana sio jambo la ajabu.Kama ni kuja kuolewa mke wa tatu na Nne mwachen aje aisome namba mwenyewe.Ni maisha yake
 
Kelvin X

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,197
2,000
waache waoane ni mtu mzima kafanya maamuzi yake, kama mmemshauri inatosha, mumpende kama mwanafamilia, kama atakuja juta ni juu yake
 
wehoodie

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
985
1,000
Chamsingi mwambieni kwa upole kuwa mnaheshimu maamuzi yake ila kama kaka/dada ungependelea aolewe na dini xx na mme yy lakini kwakuwa maamuzi ni yake mnamtakia kila lakheri na ndoa yenye furaha tele. Usisahau kumtupia mameno ya kiswahili pale kwamba ...sijui ukewenza ni..nini...

Ila utashangaa atadumu sana katika ndoa yake, mara nyingi wanao-oa mke zaid ya mmoja wanakuwaga watua wanaojua kulea na kujali familia zao. Pia ni 2017 udini tupa kule.
 
blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
4,180
2,000
Mdogo wenu ni mtu mzima;mwenye akili timamu,.
Hilo ndio chaguo lake ISLAM.Tena mke wa pili.Mmeshamsahuri kastick na maamuzi yake.Ubaguzi wa dini na mawazo hasi juu ya ndoa yake hayatasaidia.Kama mnaogopa magumu ya ndoa hata ambaye anaolewa Catholic mke Mmoja anakutana na magumu hayo mpaka ndoa kubaki jina au kuachana kabisa.So kuachana sio jambo la ajabu.Kama ni kuja kuolewa mke wa tatu na Nne mwachen aje aisome namba mwenyewe.Ni maisha yake
Mnhh,..... miss u
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom