Suala sio act, tatizo unaishi kiumbeaumbea. Hivi kukiwa na kikao cha dharua cha ccm (kiwe cha kumkata au si cha kumkata Lowassa ) wewe inakuhusu nini. Hivi hakuna jambo zuri la kutuhabalisha toka CHADEMA?
Nilijua tu vitu kama hivyo Yericko atakuwa amecopy na kupaste.
Aibu kubwa ni kuwa pamoja na kucopy ameshindwa kulink mifano yake na madhara ya makubaliano ya JK na ED.
Kwa nilivyokuwa namjua/kumfahamu mwanakijiji miaka miwili iliyopita angepaswa aandike kama ulivyoandika MTK, kwa bahati mbaya vijana wengi tunaharibiwa na makundi. Siamini kama mwanakijiji hajui kuwa "education is everything and second to none"
Nimeshangaaa sana post ambayo mwanakijiji ameiandika,ningemwona wa maana kama angesema tumchague Membe wake. Povu linalomtoka si bure. MSOMI GANI ANAEJIITA MCHAMBUZI anaetaka kutuaminisha kuwa kama jipaumbele cha mtu ni kitu fulani basi vitu vingine havitakwenda. Hivi mtu akisena mwaka huu...
Wakati mwingine kabla hujapost ni vyema unachotaka kupost ukamshirikisha jirani yako kuliko kujitia aibu huku Jf. Kwani aliyekuambia ukisomea kitu lazima ukakifanyie kazi nani?
Kwahiyo wewe kuwa muislam ndo kutufanya waislamu wengine tusimpende Edo. Kama wewe una mapenzi na dk Silaa indelea nayo. Sie safari ya matumaini imeanza.
Hivi leo Edo na waislam ni tatizo? anachojaribu kusema da Faiza ni kuwa hata Padri wetu kipenzi dk Silaa anazihitaji. Na ndo maana alishawahi kwenda pale mtambani mara baada ya msikiti kuungua mara ya pili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.