Recent content by naibilikwetu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini "wenzetu katika imani" nao watalaaniwa kwa Mauaji?

    Faiz fox soma historia vizuri israeli pale ni taifa lao ila wapalestina ndio walihamia katika ilo eneo kwa makosa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Gaza crisis 13 Israel soldier killed

    hii damu si rahisi kupotea hapa duniani mheshimiwa pasco Wamejaa duniani kote Na ndio sababu hitler akaamua kujimaliza coz alishindwa kutekeleza maamuzi yake ya kuwamaliza wote
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

    Wa kawaida sana usichanganyikiwe na rangi hiyo
  4. N

    JamiiForums Tanzania How FBME Bank Has Been Used to Facilitate or Promote Money Laundering in Tanzania...

    Mmiliki wa hii benk ni nani?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ma house boy na wake za watu

    Ahahahahaha vijimaneno hivyo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Israel attacking Gaza now in retaliation for murder of the 3 Israeli teens

    Nani kakwambia uchumi wa marekani unaongozwa na mwisraeli najua mtabisha sana but ukweli ndio huo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Israel attacking Gaza now in retaliation for murder of the 3 Israeli teens

    Kwani waarabu hawajui kipigo cha israel google six days war ndio utajua kwa nini mataifa ya kiarabu hayapendi kujiingiza ovyo ovyo kwenye huo uhasama
  8. N

    JamiiForums Tanzania Israel attacking Gaza now in retaliation for murder of the 3 Israeli teens

    Haita kaa itokee taifa la israel kupotea hata ifike hiyo miaka yenu miamoja mlio iweka kuiondoa israeli kwenye uso wa dunia haitafanikiwa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

    Naona mmempa sumu ili afe taratibu kweli viongozi wa ccm wakifa lazima muwe kuni mbinguno
  10. N

    JamiiForums Tanzania Siri Nzito UKAWA: Kigogo CHADEMA atoboa ni shinikizo toka Ulaya afichua Mbowe kuwaponda CUF na NCCR

    Embu tamka sehemu ambayo inalenga kurudisha ukoloni kupitia katiba iliyoandaliwa na kundi huru lililopitishwa na raisi wa nchi na bahadae akazi kuonesha uthaifu wake kwa kuikana hiyo hiyo kamati aliyoiteuwa
  11. N

    JamiiForums Tanzania TACAIDS Ilisaidia kulipa deni la Capt John Komba CRDB !

    Tacaids wamenunua ile shule kwa ajili ya kutoa elimu wa watu walio athirika
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kingsley Ugiagble,muuaji hatari anayelindwa na ikulu ya Tanzania

    Weee unatetea nini ni kweli viongozi wetu wanamitandao mikubwa sana ya kimafia
Back
Top Bottom