Huyu jamaani ni tajiri no 1 Zambia, hakuingia madarakani kutafuta kazi ili alipwe bali kutumikia WaZambia. Kwa hiyo, hako kamshahara ka uraisi sio dili kwake kwa sababu tayari hela anazo
Kwanza CRDB haikopeshi kwa sababu ya uhakiki, hicho ni kisingizio tu. Hawakopeshi kwa sababu hawana pesa. Deposit zimeshuka sana katika mabenki yote na si CRDB tu ila CRDB imeumia zaidi kwa sababu zile hela zilizohamishiwa BOT nyingi zilikuwa huko CRDB.
Pili, hiyo dhamana ya pensheni haipo...
Kwani kutengeneza mtaala wa masters na phd kwenye mambo ya madini inachukua muda gani. Kwanza sio kweli kuwa hapa Africa hatuna hizo taaluma kwenye kiwango cha masters kwa sababu masters na phd ni research oriented degree
Ben, nadhani huna haja ya kusumbuka na huyu kwa sababu unajua unachofanya. Kilichoandikwa hapa ni udhihirisho tosha wa vijana walioko CCM. Kwamba mtaji wa kisiasa ni kugombanisha watu na rushwa.
Maandishi kama haya yanataka kutuambia kuwa hata loan board inaangalia itikadi za chama. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.