Kwanini nitamchagua Magufuli 2015 urais...!

Atakayeshindwa October hana budi kukiri kuwa siasa ni mchezo usiohitaji ku-burn calories bure kama walivyo wengi hivi sasa.
 
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%

B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.

Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa

CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe

NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika

Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?

Sipendezwi na unafiki, siwaamini ukawa na siwapi kura yangu.
 
Nawashangaa watanzania wenzangu haswa wenye mawazo mbadala wakilishikilia bango wazo zuri la Mh MAGUFULI la kugawa laptops kwa kila mwalim wa tehama kwa ajili ya kuinua ufundishaji wa somo hilo bila kuangalia aliyoyasema mgombea wa upande wa pili Mh Lowasa. Huyu aliahidi kujenga nyumba kwa kila mtu nyumba ya kisasa ila hili haliongelewi na makuwadi wake.

Pia aliahidi kumfanya kila mtu tajiri kama Rostam na Mengi ila sioni hili watanzania wakilihubiri.

Tuache ushabiki kazi ya ulimi ni kulamba mdomo na sio pua.

1.Watanzania hatutaki kujengewa nyumba maana kutujengea nyumba za kisasa bila chakula na mahitaj ya kutumia ndani ya nyumba hizo.

3. Kila mtu akiwa tajiri nani atamtumikia mwenzie maana hinadam tumeumbwa kuwa na matabaka.

3.Kwa kawaaida kadri tunavyokuwa matajir tutahtaj maskini wa kuwanyonya ili tuwe matajiri. Na Hii haileti mantiki katika uchumi wa rangi yoyote.

Watanzania hatutaki kudanganywa

Pamoja mkuu, hivi kuna nchi ambayo kila MTU ni tajiri? Naona ndio siasa za kutuahidi mabomba ya maziwa hizi.
 
kwanza ccm itoke madarakani mengine tutajadili mbele ya safari either lowasa ni fisadi au sio bt huto ni samaki m1 baharini acha tukaushe bahari kwanza mengine baadae
 
Ni ujinga kuongelea mambo ya zamani,habari za ufisadi tulishazika,,we are moving forward,tunaangalia ni nani atatua changamoto za watanzania,,ccm ishashindwa
 
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%

B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.

Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa

CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe

NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika

Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?

una akili sana ndo maana msomi aliyesoma vizur n bora asipige kura kuliko kumpigia EL
 
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%

B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.

Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa

CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe

NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika

Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?

Dogo muda wa kampeni bado.
 
Elimu yetu Tanzania iko kuzimu. Watu wanamaliza vyuo vikuu hawajui kuandika jela, wanaandika jera. Ni kama watoto wadogo wanaojifunza kuongea wanasema thatha badala ya sasa!
 
Ctaki kumkosea Mungu wangu CCM nisiwadaganye hata muweke nn kura yangu hamtakaa muipate
 
Kuliko niipigie kura sisiem na makufuli wake bora ID yangu niitumie tu kusajilia laini zangu maana hakuna namna sasa!niwape tena miaka mingine mi5 ya kufanya upuuzi kwa ajili ya maslahi yao binafsi?nyooooooo!
Lowassa kwanza apite afu hiyo mambo mengine ya kumjua ni fisadi au sio fisadi itakuja hapo baadae baada ya UKAWa kuwa wameshafanikiwa kuiweka Tanzania mikononi mwao
 
kama ufisadi ni gari basi magufuli ni corolla na lowasa ni landcruiser
Ila ufisadi uko palepale. Hivi mbona humzungumzii mwenyekiti wenu wa sasa ambae ndie aliempa amri ya kusaini ile mikataba ya Richmond? Nakushauri; kabla ya kuishabikia ccm, fikiria kwnz mara mbili mbili mkuu
 
Ndugu mto mada naona unatokwa povu jingi MUNO
tuhuma na maneno aliyorushiwa EL alishasema aliwajibika kisiasa na akajihudhuru na kuhusu wizi wa izo ela ambazo unasema aliwaambia kama una ushahidi peleka mahakamani kama huna funga ndomo

Na kama halipi kodi ushahidi unao?
Pia katka wapigania urais kuna kipengele cha kulipa kodi vivyo basi kama EL halipi kodi Tume ya uchaguzi itamuwajibisha
 
Back
Top Bottom