Recent content by Naghenjwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi Monduli wamkataa mteule wa Lowassa, wadai waliichagua CHADEMA

    Huyo jamaa usihangaike na waeshachnganyikiwa safari hii kama wataiba kura itakuwa kwa tabubu sana abda wakimbe na masanduku ya kura kama mkongoro mahanga
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Uchaguzi huu hatutaibiwa kura!

    Mheshimia hapo umenena afari hii nkma segerea na kingineko hibiwi mtu kura
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nilipompelekea IGP Mangu majina ya wauzaji wa madawa ya kulevya mezani kwake

    ha haha ha mjamaa anafwatilia nyayo za chui mwituni ombe hiyoko
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    safari hii hakuna kuibiwa kura wasitegemee hilo kabisa waandae mabomu yakutosha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atema povu bungeni

    alfu kibaya zaidi anamzarau bosi wake ndo kutuambia ameshindwa kazi, hili jamaa sijui linajipaga mda wakufikiri kweli? aisee nchi tuna balaa hii
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

    yani kubishana na liabon nikupoteza mda amekunywa maji ya Lumumba anachojua nikubisha hana kingine ameahidiwa mambo makubwa nafikii
  7. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

    ndugu huyo bwana yeye hajawahi kuwa na la maana, hana logic yeye kazi aliyopewa ndo hiyo ku defend mpaka vioja kama ni anafamilia inahasara.
  8. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA watingisha Mkoani Kigoma - Kasulu

    kitaeleweka tu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Alichowasilisha Wenje ni Msimamo wa Kambi ya Upinzani

    umelipwa shiingi ngapi mbona mko wawili tu hapa watu walumumba mnajibizana
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mungu amejibu maombi ya Mh Lema..!

    tunasubiri kwa hamu akina savimbi waumbuke.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mnyika kupoteza jimbo 2015 ni baada ya kushindwa kutatua kelo alizo ahidi (AMUA)

    Njaa zingine bwana mtakija kupakatwa kwa uroho wenu
  12. N

    JamiiForums Tanzania CCM hapa Mheshimiwa LUKUVI alikuwa ana maanisha nini?!

    Tusimlaum mtu bila kujua CV yake kwanza, je mlolongo wake ki elimu yukoje? usije kuta ni miongoni mwa wale wale pangu pakavu!
  13. N

    JamiiForums Tanzania JK kura 6mil ni sampling hata kwa waliojiandikisha achilia mbali watz mil 47+

    hii inchi bwana tunabalaa rais anachaguliwa na watu 5milioni kati ya 45milioni alafu wanajishebedua kweli.
  14. N

    JamiiForums Tanzania CV ya William Lukuvi

    Mbona watu wa aina yake wako wengi huko ssm, hii nchi bwana bila shaka tumelaaniwa kama hawa ndo tunawategemea kututengenezea katiba wanaolamba miguu ya wafalme ili wapate kuishi tuna safari ndefu sana
  15. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kusarambatika, baadhi ya ofisi zafungwa na zageuzwa maduka

    kwanini yafutwe kama mpangaji mpya ameomba maandishi ya baki? nyie watu mnatumika mpaka inakera angalieni msije mkapakatwa
Back
Top Bottom