Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

Wewe hiyo like nimeiweka
kimakosa ushahidi kampa yule mhudumu wa bunge ampelekee spika hata sisis
nyumbani kwetu kuna tv tunaangalia live usipotoshe watu hivi nyie
vilaza ni nani amewaloga?

Mimi nawafananisha Lumumba Buku 7 kama panya road tu,hawana faida yoyote hapa duniani. Kazi yao ni kuvuruga mijadala hapa jamvini.
 
Hata Kigoma Malima alikuwa waziri wa Fedha. Naye baada ya kifo mtoto Adam akaukumba ubunge na unaibu waziri.

Mkuu hapo ndio CCM inapodhihirisha inahusika na mauwaji ya mawaziri na viongozi wa ofisi nyeti zenye mapesa kwani kifo cha Malima Sr pia kilikuwa ni controversial na ukiunganisha na vifo vya kina Balali,Sioi Sr na hivi punde Mgimwa Sr!!!
 
......lkn si kuna zawadi ya ubunge imetolewa kwa mwanafamilia yatosha tu.......?
 
ametoa mawazo yake na ni lazima tuyaheshimu. Only god knows

hivi ww lizboni huwa unafanya hata shughuli kidogo ya kujipatia kipato kweli?yaani kila thread upo unachangia na muda wowote>au ndiyo buku 7 project?
 
Wapinzani wa nchi hii ni waongo kama shetani. Wako tayari kutunga uzushi wowote ule ilimradi wakidhi matakwa yao ya kisiasa.

nadhan we aliye kuloga bado yupo hai kamtafute ili ujielewe
kama sio kwel mbona mnapinga kujadiliwa bungeni
 
Kusema kwel mtoto wa mgimwa ajui kabisa hata kujenga hoja na inaonyesha kabisa hata ajui vijiji vyake hadi anasoma pemben
what a shame is this
ujui nyumban kwako
pia kifo cha mzee kisizungumziwe
 
Mtoto hataki Baba yake aongelewe ki siasa, mwacheni Baba yake apumzike.
 
kazi kweli kweli - hakuonyesha msisitizo na mkazo wa kumpinga Kafulila - ni kama anasema aaaah tumwachie Mungu!!

yeah,its just like aliambiwa azungumze tu,,,ili waseme mwenye mtoto kasema
 
anajitetemekea tu jamaa,duuh kumbe hata MSALANI anaweza kuwa mbunge

kwa sasa Ubunge,ukuu wa mkoa,ukuu wa wilaya,ukatibu tarafa,udiwani,umeya ni swala la network tu,jaman siasa zinalipa jamani,mimi na wewe hatuwez kukopa kwenye mifuko ya hifadh ya jamii,wenzetu wanakwapua tu pesa wajiskiavyo,ukiwa mbunge unaanza kuhongwa kuanzia milions na kuendelea,mtu bado mbunge lakini TACAIDS wanamfata kumpa semina elekez ya kujikinga na ukimwi,,,,Profesa Maji Marefu nae anajifananisha na Profesa Muhongo,hizi zote ni saisa ambazo zina raha yake,,,,,,mbunge anaumwa maleria anapelekwa India akatibiwe bureeeee
 
Wewe hiyo like nimeiweka kimakosa ushahidi kampa yule mhudumu wa bunge ampelekee spika hata sisis nyumbani kwetu kuna tv tunaangalia live usipotoshe watu hivi nyie vilaza ni nani amewaloga?

yani kubishana na liabon nikupoteza mda amekunywa maji ya Lumumba anachojua nikubisha hana kingine ameahidiwa mambo makubwa nafikii
 
Thread kama hizi rafiki zangu Ritz, Msalani, Rejao, Chama, FaizaFoxy et al... siwaoni. Karibuni kwa maoni wakuu. Hali ni tete.

Mkuu hivi Rejao ushamsikia siku za karibun?
 
Wapinzani wa nchi hii ni waongo kama shetani. Wako tayari kutunga uzushi wowote ule ilimradi wakidhi matakwa yao ya kisiasa.

Mku.
Hawajafikia level yenu Intarahamwe
 
Mkuu hivi Rejao ushamsikia siku za karibun?
Aisee hata mimi nimeshangaa sana sijamsikia kitambo, sijui ID zimejumlishwa au katangulia mbele ya haki!!! Mungu pitisha mbali, au tena si unajua mambo ya kubadili ID kikishanuka, tehe tehe. Kama yupo hapa kivingine anisamehe bure. Wewe umeshamsikia mkuu au ngoja tutembelee profile yake.
 
Back
Top Bottom