UKAWA watingisha Mkoani Kigoma - Kasulu

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,981
2,000
Hatimaye mikutano ya UKAWA imeanza rasmi mkoa wa Kigoma, leo mkutano umefanyika Kasulu

UKAWA KASULU1.jpg
UKAWA KASULU2.jpg
UKAWA KASULU3.jpg
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Naona mtu anasoma daftari kulikoni cheki nyomi hii hapa.
 
Attachments

  • image.jpg
    File size
    105.5 KB
    Views
    463

LOMAYANN

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,165
1,250
Hongereni makamanda nawatakia mafanikio makubwa
Shame on ACT and ccm kwa hila zao zimeshindwa sasa ila ACT Wamejiharibia hawafai kuwa sehemu ya wanaukombozi UKAWA
 
JAKOBO

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
934
0
Hongereni Sana Ukawa,interahamwe nawashirika wake walaaniwe kwa nguvu zote nakila mpinga dhuluma hapa Tanganyika na Zanzibar
 
kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
1,001
1,500
Somo limeeleweka.nilikuwepo kwenye mkutano. Nyakarungu kamwaga sera na heche ni moto mbaya. Jamaa wamelielewa somo. Wale vijana wa ccm na ACT ya akina masud na kaijage walikaa kama vile wamenyeshewa. Wapambe wa zzk ukiwauliza apa kasulu wanasema wako NEUTRAL kama zzk. Imebaki ni aibu kwa ccm na act
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom